Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

I am sorry kwamba lugha haijakuwa friendly Pendael24.

Hapana sio ya kidini lakini ipo na stories za Bible kama za Adam and Eve na Cain na Abel.
Hata usijali

Kwa hio Kama kinaelezea store za biblia au kimemega kiasi Cha visa kutoka katika kitabu Cha dini kinaweza kweli kuto kuhusushwa na dini?
 
hello,

hicho cha 'the holly spirit and his gifts' una pdf copy yake? natafuta mtandaoni siipati naipata epub (ambayo kwangu sio friendly kabisa)
Hello
Yes ninacho hiki hapa
 
Attachments

  • The Holy Spirit and His Gifts by Kenneth E Hagin ( PDFDrive.com ).pdf
    1.4 MB · Views: 54
Mkuu kile cha think big ukiona naomba nitag
1618195221103.png
 
Attachments

  • Think Big- Unleashing Your Potentials.pdf
    969.1 KB · Views: 55
Title yake, East of Eden imetoka katika kitabu cha Mwanzo 4:16.
na moja ya maudhui yake ni uhuru wa binadamu kuitawala dhambi( Mwanzo 4:7).

............................. ...Nitarudi.
Nilikua natafuta kitu kama hiki, Sometimes I like to read bible stories outside the bible. Tuakusubiri kwa kweli urudi tu.
 
Wengine wanasema kina udini ila mimi naona sio.
Labda tuwaulize Nowonmai na Kiranga wao wamekiona namna gani.
Hakina udini.

Na hata hizo zinazoitwa dini pia ni hadithi tu.

Kwa hivyo, mimi sioni msingi wa kukataa kitabu kwa sababu ni cha kidini.

Kwa sababu, hata vitabu kama kwa mfano, Biblia, ukiichambua kwa undani kwa kumsoma mtu kama Dr. James Kugel katika "How To Read The Bible", utaona vitabu vya dini pia ni hadithi za kutungwa na watu katika kupambana na maisha yao ya kila siku.
 
Paula Paul umefuatilia series ya Hemingway PBS?

Very interesting. I bought the accompanying book yesterday.

Yeah, hata mimi nimeona hivo. Kwa sababu hata habari za Cain na Abel zilihadithiwa tu kwa kuonekana kama Aron na Cal wanakaribia kisa hicho.
Ni sawa sasa hivi mtu apatwe jambo tufananishe na kwenye Bible mtu alitokewa na jambo hilo.

Nimetamani kusoma hiyo "How To Read The Bible "

Cc Pendael24
 
Paula Paul umefuatilia series ya Hemingway PBS?

Very interesting. I bought the accompanying book yesterday.

Hapana sijafuatilia kabisa.
Asante kwa link. Ipi inapaswa kuanza?

Edit: Nimeona

Screenshot_20210412-062342_Chrome.jpg
 
Hapana sijafuatilia kabisa.
Asante kwa link. Ipi inapaswa kuanza?

Edit: Nimeona

View attachment 1750521

Hi. Paula, naomba unisaidie link ninayoweza kupata free pdf. Hata hivyo kama wewe au wengine wanaweza nisaidia vitabu kama:
1: The Laws of Human Nature- Robert Green
2: Dark Psychology Series books
- Hapa kuna mlolongo wa muendelezo wa zaidi ya kitabu kimoja.

Asante.
 
Hi, HS CODE.
Here you go ,utapata kwa formats mbalimbali.
Give it a shot.
 
Hakina udini.

Na hata hizo zinazoitwa dini pia ni hadithi tu.

Kwa hivyo, mimi sioni msingi wa kukataa kitabu kwa sababu ni cha kidini.

Kwa sababu, hata vitabu kama kwa mfano, Biblia, ukiichambua kwa undani kwa kumsoma mtu kama Dr. James Kugel katika "How To Read The Bible", utaona vitabu vya dini pia ni hadithi za kutungwa na watu katika kupambana na maisha yao ya kila siku.
Ni kweli vitabu vya dini vimetokana na hadithi, na kila hadhithi Ina mazingira yake kwa muwasilishaji na anaewasilishiwa.
Sisi wengine tulio zipokea hizo hadithi zimetufunga katika kitu kinaitwa imani.
Kiasi ambacho usingependa kusikia maelezo mengine yanayo husu hadithi ulizozipokea hapo kabla kutoka katika chanzo kingine.

Kwa Mimi binafsi natamani sana kusoma hadithi zinazopatikana kwenye biblia nje ya biblia yenyewe Kama hiko kitabu tunachokielezea.
 
Yeah, hata mimi nimeona hivo. Kwa sababu hata habari za Cain na Abel zilihadithiwa tu kwa kuonekana kama Aron na Cal wanakaribia kisa hicho.
Ni sawa sasa hivi mtu apatwe jambo tufananishe na kwenye Bible mtu alitokewa na jambo hilo.

Nimetamani kusoma hiyo "How To Read The Bible "

Cc Pendael24
Nimemuelewa na kuelewa Paula, kazi kwangu ni kukitafuta Kama kinapatikana kwa wepesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom