BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

he he heeeeeee, mlongo wangu Kipipi umefundishwa na nani hayo mamjamaa ya 3some? ni ile ile mada ya rafiki yangu The Boss au?

Sasa na wewe yako yamekushinda unakimbilia kwa ya watu lol huna hata aibu.
Mdogo wako Kipipi nampenda sana na yeye anajua na ananipenda pia tena hajali mimacho na mimameno kama yako FP ....!
Hivi ushapata wa x mass? Au ndo bahati mbaya?
 
Last edited by a moderator:
kuna mkuu mmoja namtuta ile mbaya,
jina limenitoka kidogo,
hapa almost kila kitu kipo, only i need is a company tu,
ngoja jina likija nitalichora hapa hapa jamvini.
 
Hivi kwanza 3some ndo mamjamaa gani?
Mi hata sijui.

Alafu we usimsikilize Erickb52, sijui anataka kumuumiza nani roho.
Namuangalia tu ajifurahishe!
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe yako yamekushinda unakimbilia kwa ya watu lol huna hata aibu.
Mdogo wako Kipipi nampenda sana na yeye anajua na ananipenda pia tena hajali mimacho na mimameno kama yako FP ....!
Hivi ushapata wa x mass? Au ndo bahati mbaya?

Endelea tu kujisifia, deadline imekaribia!
 
Mahusiano mapya ruksa kwa walioko single.....CHANGAMKA!!!

Mkuu swali la nyongeza..kutokana na maelezo yako..Je, hii inahusu jinsia tofauti pekee au? (Naamini mambo ya U-cameron yako kwao tu)..na kutokana na hilo swali lilotangulia ningependa kupata ufafanuzi Je, Mods ni memba au ni...Mods tu..kama ni memba basi ntambuku RussianRoullette!!
 
Sasa na wewe yako yamekushinda unakimbilia kwa ya watu lol huna hata aibu.
Mdogo wako Kipipi nampenda sana na yeye anajua na ananipenda pia tena hajali mimacho na mimameno kama yako FP ....!
Hivi ushapata wa x mass? Au ndo bahati mbaya?
wa xmas? na teja langu nampeleka wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna mkuu mmoja namtuta ile mbaya,
jina limenitoka kidogo,
hapa almost kila kitu kipo, only i need is a company tu,
ngoja jina likija nitalichora hapa hapa jamvini.

Mtalaka hatongozwi Mamndenyi! Niite nitaitika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom