BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Naona unanitisha rafiki hahahahah lol!..... anaua kwa gobore, bistola au kwa waganga wa tunguli!? ili nijue najihami kivipi. Tunguli siziamini kabisa hivyo kama atafanya hivyo kupitia waganga wao basi mwambie ataula wa chuya lol! Ukishakuwa kwenye kapu la kusubiri ndio URIE TENA!!! Amuulize mwenzake aliyejiweka kwenye waiting list for 14 years, tangu binti alipokuwa kigori hadi sasa amekuwa mtu mzima lol!
sina uhakika kama anazijua tunguri rafiki....
unafikiri atakuwa na ugomvi na wewe rafiki? ataua ambaye yupo karibu naye....... tukose wote, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom