BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Mkuu I'm here to protect not to destroy kuwa na amani si unajua sisi tuliokosa kosa kuwa wachungaji

Ayaa nyie ndo wabaya ila use umoja! Sema 'mimi' usisme 'sisi'. Najua hutamuumiza na nitachukua ripoti kwake
 
Ahsante kwa kunijulisha Kipipi! Nakushauri mbinafsishe Erickb52 moja kwa moja kwa kuwa kama unavyojua Amyner kapotea na kama ilivyo desturi, asiyekuwepo machoni na moyoni pia hayuko! Kipipi kuwa shem langu kwa Erickb52 please.

Hapana! Amyner yupo wala usidhani kapotea.
We subiri siku ikifika utamuona tu, kwenye matukio kama haya kwani kuna mtu anaachia hubby wake??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom