Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mimi na teja hakuna kuachana maisha yetu yote. kwa kifupi sina mpango wa kupenda tena rafiki.....Wengine wote wasubiri mpaka Teja litakapoamua kuachia ngazi au rafiki FP atakapoamua kubwaga manyanga, sijui itakuwa mwaka gani!? labda 2055 lol!