BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Mhhhhh! Habari za siku tele @FP? Habari za kwenye honeymoon ya kufungia mwaka? naona unazidi kumeremeta lol! Msalimie sana Teja mwambie namtakia heri ya mwaka mpya na muendelee hivyo hivyo katika mwaka ujao wa 2013.

Happy New Year Rafiki.

ninachompendea rafiki yangu BAK si mchoyo wa kutumbuiza mateja..... ukionyesha interest tu anakurushia vitu......
hiyo ni spesheli kwako Arushaone na KOKUTONA, huko mimi sipo....
 
Last edited by a moderator:

Asante sana rafiki yangu.......
nawe pia nakutakia yote mema rafiki yangu......
asante kwa kibao, lol! teja na mimi tunaenjoy tu kwa raha zetu...... asante sana sana sana kabisa.....
clip yako imenitoaje sasa machozi! teja leo ana kazi ya kubembeleza.......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Ha ha FP unatafuta kesi, Arushaone hana mtu humu? naogopa kunangwa mie. BAK amegundua namini nimeshakuwa teja, ananipa vitu vya ukweeeee
 
Last edited by a moderator:
Furahia kwa raha zako rafiki @FP...mwache Teja akudekeze lol! kwa raha zake:majani7:ndiyo raha ya kupendwa pale ulipopenda, vinginevo inakuwa shida tupu!!!

Asante sana rafiki yangu.......
nawe pia nakutakia yote mema rafiki yangu......
asante kwa kibao, lol! teja na mimi tunaenjoy tu kwa raha zetu...... asante sana sana sana kabisa.....
clip yako imenitoaje sasa machozi! teja leo ana kazi ya kubembeleza.......
 
Last edited by a moderator:
Elegant-Thank-You-Card-Wedding.jpg

BAK hakyamungu sikuwezi! Nimeshindwa kuku-quote hapo juu kwa faida ya mchina ila nakukubali sana! COPY: Roulette.
 
Furahia kwa raha zako rafiki @FP...mwache Teja akudekeze lol! kwa raha zake:majani7:ndiyo raha ya kupendwa pale ulipopenda, vinginevo inakuwa shida tupu!!!

Rafiki unampa teja kazi kubwa, shauri yako.
Asante sana rafiki yangu. Ni kweli kabisa ni raha sana kuwa teja, na hasa wote mkawa mateja, lol!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
BAK hakyamungu sikuwezi! Nimeshindwa kuku-quote hapo juu kwa faida ya mchina ila nakukubali sana! COPY: Roulette.
Umeona eeh! Yaani huyu rafiki yangu BAK namkubali sana..... Huwa hafanyi makosa aisee, ananipa raha saaaana ingawa wakati mwingine najikuta nalia tu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Furahia kwa raha zako rafiki @FP...mwache Teja akudekeze lol! kwa raha zake:majani7:ndiyo raha ya kupendwa pale ulipopenda, vinginevo inakuwa shida tupu!!!

rafiki lyrics hizi si mchezo, lol!
hebu mlongo wangu snowhite kuja kipande hii ujionee rafiki yangu BAK anachonifanyia, lol!
ngoja tuendelee ku-bold mipaka......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! rafiki FP ni aje banaaa!!!! Mpaka kuangusha chozi rafiki!? Ila sina wasiwasi najua kwamba Teja atatimiza wajibu wake wa kumbembeleza la aziz wake tena kwa raha zake.

Nakutakia weekend njema rafiki

Umeona eeh! Yaani huyu rafiki yangu BAK namkubali sana..... Huwa hafanyi makosa aisee, ananipa raha saaaana ingawa wakati mwingine najikuta nalia tu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! rafiki FP ni aje banaaa!!!! Mpaka kuangusha chozi rafiki!? Ila sina wasiwasi najua kwamba Teja atatimiza wajibu wake wa kumbembeleza la aziz wake tena kwa raha zake.

Nakutakia weekend njema rafiki
ha haaaaaaaa, rafiki unanichekesha..... ndo nini sasa kumpa teja wangu kazi ya kubembeleza kila siku? yaani kuniliza unilize wewe, kubembeleza mwingine, lol! naamini hatachoka hii kazi, maana inakuwa too much.........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! hahahahah lol! Mtahadharishe Teja asikimbie wajibu wake wa kukubembeleza/kukudekeza vinginevyo itakula kwake!!! aanze kulialia "BAK kanipora mpenzi wangu." Kisha naye aunge tela la kusubiri kama yule aliyevunja rekodi ya Guinness Books of Records ya kumsubiri mupenzi kwa miaka 14 sasa lol!

Jumamosi njema rafiki.

rafiki rafiki.....taratibu rafiki...... teja ataua mtu...... unafikiri kukaa kwenye foleni ni kazi ndogo rafiki?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona unanitisha rafiki hahahahah lol!..... anaua kwa gobore, bistola au kwa waganga wa tunguli!? ili nijue najihami kivipi. Tunguli siziamini kabisa hivyo kama atafanya hivyo kupitia waganga wao basi mwambie ataula wa chuya lol! Ukishakuwa kwenye kapu la kusubiri ndio URIE TENA!!! Amuulize mwenzake aliyejiweka kwenye waiting list for 14 years, tangu binti alipokuwa kigori hadi sasa amekuwa mtu mzima lol!

Back
Top Bottom