wa xmas? na teja langu nampeleka wapi?
...Tejaaaa lol!Mpe salam nyingi toka kwa BAK za heri ya Xmas na Mwaka mpya wa 2013....NANI KANUNA Rafiki? :majani7:
ha haaaaaaaa, nitalifikishia rafiki, tena atasoma tu yeye mwenyewe hapa, kwa hiyo atapata salamu direct.....
mmmmhhhh! hakuna kununa tena rafiki, lol!
asante sana kwa "only girl" rafiki
yaani full kujidai, unatutamani eeeh! lol!Safi sana rafiki Teja linachekelea kupita kiasi!!! KUNUNA MARUFUKU!!!! LOL! Jidaini kwa raha zenu.:majani7:
yaani full kujidai, unatutamani eeeh! lol!
Mhhhhh! Unataka Teja anywe sumu?
Heheee hilo tongozo la ukweliha haaa, atakunywa sumu kwa nini sasa? kwani yeye hataki watu watutamanie? lol!
naona "I wanna love you" lol! asante kwa clip
ha haaa, atakunywa sumu kwa nini sasa? kwani yeye hataki watu watutamanie? lol!
naona "I wanna love you" lol! asante kwa clip
ha haaaaaaaaaa, ona huruma tu.......Tatizo ni pale unatamani halafu badala ya kutafuta uraiani ukataka kuingia kwenye maeneo ya kujidai ya Teja!!! Teja atanunaje? na kwa jinsi alivyokuzimia anaweza kabisa kusaga chupa kisha akameza lol! Chezeya penzi weye!!!
ha haaaaaaa, umeona eehh!
ha haaaaaaaaaa, ona huruma tu.......
si unaona hapo Erickb52 ananitania eti nimepata wa xmas....... nilishamwambia mimi na teja teja na mimi...... tumeshikamana wenyewe, lol!