Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

CHADEMA ipi? Punguza unafiki. Yani Jambo lolote likiulizwa na raia umekimbilia agenda ya CHADEMA. Yani Raia wasiulize kitu kisa wataambiwa ni CHADEMA.
Soma iyo heading apo juu utajua nazungumzia chadema ipi
 
Baada ya Lissu kushambuliwa Dodoma ilipangwa ratiba ya mazishi na hata Hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ilishaandaliwa
Na ilikuwa maziko ni ya haraka na kaburi kuwekwa zege mara tatu Ili watu wasihoji sana matokeo yake msimamizi na shetani mkuu wa ule upuuzi akafa mapema na hotuba ya. Mazishi ya Lissu ikaeditiwa
 
Wachangie nini wakati alitishwa akasema yeye haumwi yuko mzima wa afya? Wauaji wakubwa nyie.
We mbwa unaweza kuamini kuwa ile barua ya kujiuzuru aliiandika chongolo... any way pengine ni mgeni na hii nchi hatuwezi jua
 
Boniface jacob anasema:
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.

Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni..?

Ni kukaa kwa machale.
View attachment 2894981
Ndani ya hichi chama unaweza kuzikwa kabla hujafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom