and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
- Thread starter
- #141
Frustration
Na hasa kama huutendei haki huo usomi.Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Hii imemkost kaka yako huko Kyela kwa dharau zake... PHD haikufanyi uwe binadamu wa daraja la juu bali inakufanya uwe mwanazuoni mbobezi kwenye jambo fulani pekee.Wabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.
Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.
Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.
Kwa sababu hatuna hizo PhD tafadhali tusilete chuki kwa walio nazo. Pengine, Lawama tuzipeleke kwa wazazi wetu kwa kutupa Elimu ya Kiwango Duni (EKIWADU).Tanzania inahitaji watu wenye akili na maarifa mengi kwa ajili ya ujenzi wa Taifa lao na siyo hayo Ma PhD! Huwezi kumpima mtu uwezo wake wa akili eti kwa sababu ana digrii au la! Huko ni kukengeuka na kujitoa ufahamu.
Huenda ile sumu aliyowekewa Mheshimiwa wakati ule wa utawala wa awamu ya nne mpaka akanyonyoka nywele, haijawahi kumuacha salama. Tuendelee kumvumilia na kumsamehe.
Wabongo na ushamba wao wakiwa na Phd za chupi basi wanajifanya wanajua kila kitu.Siku hizi Phd zipo kibao mbona. Waalimu wengi wa shule za Msingi na Sekondari ama wameshazipata au wako mbioni kuzipata. Masters ndio za kumwaga!!
Swali kubwa ni, Je, zinamchango wowote katika kuboresha ufanisi wa kazi na kuleta mapinduzi halisi ya elimu nchini au imekua ni fashion na kuongeza CV tu kwa wahusika?
Kwamba huyu anadharau PhD coz ni ya food security? Huyu nae Hana tofauti na mtoa Uzi wote Hawa ni vilaza wenye viwang vidogo kabisa vya kifikraPhD ni PhD tu kila fani inamtegemea mwenzake.Wewe lete dharau wenzako wanatengeneza Maisha
Ni haki yako ya kikatiba Mkuu kama ilivyo kwa wale wengine watakao mpigia kura mgombea mwenye maono ya kiungozi na mtu wa watuMbeya Mjini tutampigia kura yeyote mwenye PhD
Maono yasiyo tekelezeka miaka 10?Ni haki yako ya kikatiba Mkuu kama ilivyo kwa wale wengine watakao mpigia kura mgombea mwenye maono ya kiungozi na mtu wa watu
Kitu gani hakijatelezeka miaka kumi mkuu?Maono yasiyo tekelezeka miaka 10?
Wewe mbona Huna hiyo PhD?Siku hizi Phd zipo kibao mbona. Waalimu wengi wa shule za Msingi na Sekondari ama wameshazipata au wako mbioni kuzipata. Masters ndio za kumwaga!!
Swali kubwa ni, Je, zinamchango wowote katika kuboresha ufanisi wa kazi na kuleta mapinduzi halisi ya elimu nchini au imekua ni fashion na kuongeza CV tu kwa wahusika?
Mkuu, mimi darasa langu la nne la chini ya muembe linanitosha kuendeshea maisha yangu ya ukulima wa kujikimu wa jembe la mkonoWewe mbona Huna hiyo PhD?