Tatizo siyo wivu na PhD za watu, tatizo ni matukio yanayofanywa na baadhi ya wasomi hao mfano;
-Bungeni wakati wa hoja za maana jitu limelala halafu linakurupuka na kugonga meza kwamba linaunga mkono hoja.
-PhD holder katumbuliwa ukuu wa mkoa analia akidai kuwa yeye yatima na anategemewa.
-Kwenye nafasi za siasa wakiwamo na PhD holders hushauri watoto wa wakulima wakajiajiri wakiwa na shahada lakini wao wameng'ang'ania hizo nafasi huku wakiweka mzingira kwa watoto wao kuzirithi.
-PhD holder kama Mwakyembe kule Ujerumani ambako aliipata PhD kwa kuandika Tethys inayotaka serikali tatu tena aliitetea kwa hoja nzito hadi ma prof wa kijerumani wakamkubali lakini kwenye bunge la katiba aliitupilia mbali hadi Tundu Lissu aliingia na kitabu cha Mwakyembe mle bungeni lakini jamaa akafumba macho kama hakuandika yeye.
-PhD holder tena mchana kweupe hataki takwimu za wagonjwa na Vifo vinavyotokana na COVID-19 zisitolewe hadharani na hoja hii IKAMKOSHA SANA PhD mwingine na kugawa uteuzi wa uwaziri siku chache baadae.
-Kamati na tume nyingi zinazoundwa tena zikiongozwa na ma PhD na ma Prof wabobezi zinakuja na findings zisizo na kichwa wala miguu na zenye maelekezo eg 'The makinikia Professorial Rubish hadi tukaaminishwa sisi ni Donner kantri.
Kwa kifupi ni kwamba kuna utopolo mwingi sana unaofanywa na PhD holders hasa wakihamia chama fulani au wakipewa madaraka hadi inafika wakati Mbunge MUSUKUMA au KIBAJAJI ambao hawa ni la saba Graduates wanaweza jenga hoja kuliko wasomi hawa na kinachopunguza uwezo wao kwa kila nyanja ni kwamba wanafikiria kwa kutumia tumbo yaani wanawaza teuzi na si vinginevyo.