kujikomboa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heart Wood.

    Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

    Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige. Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss! Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana. Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
  2. B

    Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu

    CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo. Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo...
  3. consolatha99

    SoC03 Fikra Chanya Katika Kujikomboa

    Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
  4. Roving Journalist

    Elimu ya Uraghbishi na jinsi inavyosaidia jamii kujikomboa katika maendeleo

    Maana ya Uraghbishi Si rahisi kuwa na maana moja kamili ya Uraghbishi, hii ni kwa sababu Uraghbishi ni falsafa, mtazamo na namna ya kuwachochea Wananchi washiriki kwa pamoja katika kujiletea maendeleo yao. Uraghbishi ni mtindo wa maisha. Lengo la Uraghbishi Kuwahamasisha wanajamii katika ngazi...
  5. KeeTZ

    SoC02 Utambuzi wa fursa zinazokuzunguka ili kujikomboa kiuchumi

    a) UTANGULIZI. Vijana wengi wa sasa nikiwemo mimi kwa muda mrefu tumekuwa tukilalama, na pengine kuilalamikia serikali kwa uhaba wa fursa zinazoweza kufikika ili KUJIKOMBOA ki uchumi, mawazo haya yameshika hatamu vichwani mwa vijana wengi wakihisi fursa ni lazima mtu akukamate mkono na...
  6. B

    Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

    Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
  7. B

    Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

    Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika. NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine. Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine. Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
  8. Mtafiti77

    SoC01 Tafakuri tunduizi tiba ya maendeleo

    TAFAKURI TUNDUIZI TIBA YA MAENDELEO UTANGULIZI Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna migogoro kati ya nchi na chi, mtu na mtu ama jamii na jamii? Kwanini baadhi ya miradi ya kitaifa haikamiliki ama hukamilika kwa mashaka? Masuala yote hapo juu ni matokeo ya...
Back
Top Bottom