Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Praise mwenyewe kanolewa sana tu! Huko kwao ni mwanamuziki nina video ya nyimbo yake aliyorecord akiwa na miaka 4
Kama ni hivyo, kwangu mshindi ni Freya, nilidhani Praise hana advantage ya kunolewa.

Ila mpango wa majaji upo dhahili, labda waniprove wrong.
 
OH kama n hv bc safi, japokuwa sioni future kwake.

Ila kumanage mwanamke kimuziki sio kazi ya kitoto, Abbah ana kazi kubwa sana kwake, wakike n mwepesi sana kutoka kwenye reli.

Maybe kwakuwa amepitia THT anaweza kusogea mbele.
Kwanza Abbah hatokubali kumuita Sherida shemeji ni lazima tunda ale kwanza mwenyewe.
Sioni future mbele yao
 
Kwanza Abbah hatokubali kumuita Sherida shemeji ni lazima tunda ale kwanza mwenyewe.
Sioni future mbele yao
Upo sahihi, Kwenda kulana ndo kitu Abbah ameona na sio future ya huyo mwanamke.

So fire anajua kuliko huyo sheriah Ila hana mvuto hvy hawatomzingatia sana
 
Ah kwamba kosa n kunolewa?
U can't be serious mzee
Hapana sio kosa, ni kwamba uanja umekua fair. Mimi nilidhani hakupata hiyo privilege na bado ameonesha kitu. Ila kama wote wamenolewa then it's even
 
Kama kawaida ya sisi Wabongo, ishu na time management ni kisiki kizito.
 
Upo sahihi, Kwenda kulana ndo kitu Abbah ameona na sio future ya huyo mwanamke.

So fire anajua kuliko huyo sheriah Ila hana mvuto hvy hawatomzingatia sana
Mimi nalala matokeo nitayakuta kesho
 
Upo sahihi, Kwenda kulana ndo kitu Abbah ameona na sio future ya huyo mwanamke.

So fire anajua kuliko huyo sheriah Ila hana mvuto hvy hawatomzingatia sana
Nina imani wameshaanza huo mchakato wa kulana😄, wataendeleza walipoishia mara yamwisho.
Si umeiona posture ya binti mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…