Bongo star search 2015

Bongo star search 2015

Kayumba ni hatari anajua kucheza na akili za watu sijategemea hiyo nyimbo aisee lzm wanawake wajae kwa stage
 
Kiruuuuuu,kijana yuko makini jamani!
Uwiiiiiii kaupatia than I thought!
Kayumba is talented jamani!

Best wangu mie nakwambiaje huyo dogo amewakamata wabongo pabaya.. wewe njo na akina Luther Vandaros watu hawaelewi
 
waswahili wanakazi kwelikweli eti taarabu nayo inaimbwa kwenye fainal
 
Madam Ritha wenzio wanakushangaaaaaa, nn sasa unashangiliz mtu mwenyewe haonekani then kasimama sehem moja mpaka wimbo unaisha,,
 
Huu mtihani mrahisi sana, maana majibu yapo wazi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom