Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Sawa nitaandika hapa.
Lizzy husika na mada tajwa juu.
Mimi Daby ni kijana mwenye umri wa kati....najishughulisha na biashara ya kuuza dawa za asili (kimasai).
Muonekano nina kitambi kidogo....mfupi mfupi na mweusi. Naomba unionyeshe alipo mrembo asiyehitaji pesa.