Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Sio swala la kujiweza, ni swala la kuheshimu vipaumbele vyako na choices zako
Kwahio kipaumbele chako tall handsome and black au sio 😂😂😂 we swala la pesa hujali!
 
Anawezekana asiwe ananuka jasho lakini bado akawa hayupo kwenye choices zangu, point yangu ni kwamba wakati mwingine pesa sio kigezo cha kupendwa na mwanamke, na hiki me wengi wanafeli kujua

Sasa mtu unakua na mwanaume ana pesa lakini anamvulia kila mwanamke suruali, hapo kuna mapenzi? Au unakua mtu ana pesa lakini anadhalikisha utu wako na anakushusha tamani yako kwa sababu ya pesa, luna vigezo vingi wanawake huwa wanaangalia na kikubwa ni utu, pesa hata sisi tunajua kutafua, hata chapati tutauza tupate pesa
No. Wanaweke wengi wanapenda mwanaume mwenye pesa kwanza haya mambo ya utu na tabia ya mtu yanakuja baadae, hapo mwanamke tayari anakua ameshanasa kwenye penzi. Lakini for the first impression mnaangalia uwezo wa kiuchumi.
 
Kwa experience yangu asilimia kubwa ya hawa dada zetu ukijaribu kuanzisha mahusiano nao wanakugeuza kitego uchumi. Na hii sio kwa Tz tu
Waswahili wanasema "Ukarimu huanzia nyumbani." kwahiyo embu anzeni kwa kuwasaidia mabinti(dadaz, wadogo, daughters & nieces majumbani waweze kujitegemea. That way wachunaji watapungua kwenye mzunguko....hata kama sio leo but they will.
 
Nadhani hii ni mentality ya wanawake hata kama ana kipato lazima akupige mizinga! Na akiwa hana kitu ndio kabisa utapigwa sindano mpaka ukimbie 🤣🤣
 
Kwahio kipaumbele chako tall handsome and black au sio 😂😂😂 we swala la pesa hujali!
I didnt say so, huko nilishatoka siku nyingi, nalea wajukuu sasa, hayo mambo niwaachie nyie vijana
 
Mtende Bora umesema kumbe now umekuwa bi kizee Ila kipindi unabalehe hukuwahi zivungia pesa... Lazima pesa iwepo ili mapenz yashamiri... OGOPA SANA MANZI MWENYE VICOBA KAMA SABA..
 
Ni kweli hakuna msichana ambaye hana kazi ya maana ambaye hatakuomba matumizi (kodi ya nyumba, vocha, hela ya kula, hela ya saluni, na akitaka kusafiri anakuomba hela umchangie nauli ) yani wamekuwa kama vile umeoa tayari. swala hili tumeamua tu staafu kutongoza ni vema ukiwa na hela yako unamtafuta malaya ambaye ni mtulivu unaenda kupata chako basi mnakuwa mme malizana hapo hapo, ukipata tena hivyo hivyo. hawa wengine imekuwa tabu unatakiwa uwe na hela muda wote maana atakushtua hala matumizi lazima uanze kuhangaika kuwajibika hata kama huna maana unaogopa kuonekana fala, sasa hayo yote ni kueleteana magonjwa ya presha, moyo na akili. Dawa kubwa ni kuachana nayo mtu abaki kusaka malaya ukiwa na pesa basi hili ndio suluhisho.
na hili ndilo tunalofanya sku hz! Siwez kua na demu afu anibebeshe majukum ya babake Qmmmmmk!!!
 
Mtende Bora umesema kumbe now umekuwa bi kizee Ila kipindi unabalehe hukuwahi zivungia pesa... Lazima pesa iwepo ili mapenz yashamiri... OGOPA SANA MANZI MWENYE VICOBA KAMA SABA..
Enzi zetu pesa ilikua sio kigezo, siku hizi maisha yamebadilika sana, ila ile miaka ya 70 tulikua tunaangalia sana utu maana tuliamini ndani ya utu kuna upendo, uvumilivu, ucha Mungu, kuchukuliana pamoja na mapenzi ya dhati, kuhusu pesa tulikua tunatafuta tukishaingia ndoani yaani mnaanza maisha sasa ya shida na raha
 
No. Wanaweke wengi wanapenda mwanaume mwenye pesa kwanza haya mambo ya utu na tabia ya mtu yanakuja baadae, hapo mwanamke tayari anakua ameshanasa kwenye penzi. Lakini for the first impression mnaangalia uwezo wa kiuchumi.
Wanaume mnatakiwa tu kujiamini, hawa wadada wanaweza kuwapenda tu hata bila hizo pesa, tatizo mnaamini nguvu ya pesa na bapo ndio mnapokosea
 
Anawezekana asiwe ananuka jasho lakini bado akawa hayupo kwenye choices zangu, point yangu ni kwamba wakati mwingine pesa sio kigezo cha kupendwa na mwanamke, na hiki me wengi wanafeli kujua

Sasa mtu unakua na mwanaume ana pesa lakini anamvulia kila mwanamke suruali, hapo kuna mapenzi? Au unakua mtu ana pesa lakini anadhalikisha utu wako na anakushusha tamani yako kwa sababu ya pesa, luna vigezo vingi wanawake huwa wanaangalia na kikubwa ni utu, pesa hata sisi tunajua kutafua, hata chapati tutauza tupate pesa
Umeongea kitu kikubwa lkn hawa hawatuelewi, achana nao
 
Back
Top Bottom