Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
pole sana...me mwenyewe nlkuwa huko namm nlidhani hakuna mwanga na sitaweza shika mil500...Pambana uswahilini kwenu kwa wakina asha ngedele. Nyie ndio mmakuja kufungua nyuzi za kula mademu kimasihala humu.
cha muhimu usikate tamaa utafika