Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Demu wa mansese hauwezi kumfananisha na wa masaki au oysterbay.
Ila huyo demu wa Masaki kuna mtu anamkaza bila hata kugharamikia chochote anapelekewa pussy Mbezi kila weekend. Ni akili yako tu unaichezesha vipi. Level up your game bro...tena hamna wanawake waelewa kama watoto wa ushuani.
 
Kuwa na madem watatu halafu kuwa mjanja mjanja mbona utainjoi life.

Huyu akihitaji Kodi unahamia kwa yule. Yule akizungua unahamia kwa huyu. Life's simple.

Ukikomaaa na manzi mmoja mtakufa kwa presha.
Hahahah this works like charm...Sio unaomba uchi unasumbuliwa kama ridhaa ya kuongoza nchi bana.
Unakuwa una switch tu, wa Sinza akizingua unahamia kwa wa Mbezi akileta mbwembwe unaelekezea dishi Kino. Huwezi kuteseka hata siku moja...just switching lanes.
 
Ila huyo demu wa Masaki kuna mtu anamkaza bila hata kugharamikia chochote anapelekewa pussy Mbezi kila weekend. Ni akili yako tu unaichezesha vipi. Level up your game bro...tena hamna wanawake waelewa kama watoto wa ushuani.
mkuu, naanza kuwachangamkia.. nwajuma jana kaomba hela ya "kwio" mpaka nmeshangaa ata sielewi,.. havijawa anataka dela jipya .. nmechoka hawa wa uswahilini ngoja nijaribu hao wa ushuani.
 
Suala hili ni tatizo ila ukiliaangalia kwa mapana chanzo ni sisi wanaume.

Miaka ya nyuma mdada ulikuwa ukimwambia ntakuowa tu umemaliza, yani atakuamini na kukuheahimu kama mumewe mtarajiwa so tukawa tunaitumia kama fursa ya kula tunda kimasiharamasihara end of the day wadada wanabaki na vilio na maumivu yakurubuniwa na kusalitiwa.

Hivyo wanawake wameona isiwe tabu mana wanaume shida yetu si uchi na tukishapata tunahama basi uchi tutapewa ila nasisi tutoe pesa ili mwisho wa siku we ujutie pesa zako nayeye akakande papuchi yake. Ni hesabu rahisi tu
Sasa unataka kunambia hao waliofanyiwa matukio ndio hawa tunaokutana nao au tukueleweje mzee baba.....?!

So tunalipiziwa kisasi kwa makosa ya wengine?! Basi wanawake wa sasa hawana akili kama ndio hivyo.
 
Stori za vijiweni hivyo.
Ila huyo demu wa Masaki kuna mtu anamkaza bila hata kugharamikia chochote anapelekewa pussy Mbezi kila weekend. Ni akili yako tu unaichezesha vipi. Level up your game bro...tena hamna wanawake waelewa kama watoto wa ushuani.
 
Hahahah this works like charm...Sio unaomba uchi unasumbuliwa kama ridhaa ya kuongoza nchi bana.
Unakuwa una switch tu, wa Sinza akizingua unahamia kwa wa Mbezi akileta mbwembwe unaelekezea dishi Kino. Huwezi kuteseka hata siku moja...just switching lanes.
Hahaha kweli mkuu shida za Nini..

Huwa nashangaa unakuta kidume kinalia kabisa kwa mapenzi
 
Shida inakuja wadada wasotanguliza pesa mbele kwenye mahusiano huwa wanakutana na wakaka wanaopenda vitonga. Na wakaka tusiopenda mapenzi pesa ndo tunakutana na wadada pasua kichwa. Ko huu msiba ni wengi mama
Ndio maana inabidi watu tupunguze kukurupuka. Kama mtu unatafuta mtu wa kuwa nae kwenye serious/committed relationship angaza angaza macho vya kutosha kabla ya kufanya maamuzi 🧐🧐
 
Ila huyo demu wa Masaki kuna mtu anamkaza bila hata kugharamikia chochote anapelekewa pussy Mbezi kila weekend. Ni akili yako tu unaichezesha vipi. Level up your game bro...tena hamna wanawake waelewa kama watoto wa ushuani.
give me some game bro...hawa wa ushuani nawapataje?(Naishi Buza)
 
Hili formula haitiki ujue wamesomea wale kuchuna pesa kwanza wanasema no money no services
Ukiwa fisi "kiungo mjanja mjanja na fundi" ni rahisi sana kuwatafuna bila kutoboka mfuko.

Kanuni ni ile ile toa ahadi zaidi ila usitekeleze. Wanawake huwa wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli.

Ndio maana wale machalii wema wema sana "nice guys" huwa wanalia sana ktk mapenzi. Wanawake wanawapenda sana wanaume ambao wanawaumiza nafsi zao na sio kinyume chake.
 
"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!

Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.

Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
Maisha kamahayo utakuwa umejichagulia mwenyewe Wala sio swala la kulalamika
 
Ukiwa fisi "kiungo mjanja mjanja na fundi" ni rahisi sana kuwatafuna bila kutoboka mfuko.

Kanuni ni ile ile toa ahadi zaidi ila usitekeleze. Wanawake huwa wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli.

Ndio maana wale machalii wema wema sana "nice guys" huwa wanalia sana ktk mapenzi. Wanawake wanawapenda sana wanaume ambao wanawaumiza nafsi zao na sio kinyume chake.
Heheheh na wanaowaumiza are the most guys who easily gets into their pants. Yani inashangaza mwanamke anavyokuwa mwepesi kukuvulia chupi ukiwa tapeli kuliko ukiwa mkweli and genuine.
 
give me some game bro...hawa wa ushuani nawapataje?(Naishi Buza)
Cmon man you gotta be real and bold to them. Like heeey Kamala im citizen B with strong intention to fill your heart with whats missing on your right ventricles. Just act a bit crazy before you really get into your sense and make her giggle put a lot of smiles on her. If she finds it cool then be real with her about how attractive she is and your thoughts of building a strong companioship with her. Huna haja ya kufloss or bossing around showing up your money or possessions ni ushamba hapa ndio watu wanaumiaga.
 
That's cool and all but I meant nawapatia wapi?naishi buza hawapo huku
 
Back
Top Bottom