Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,400
- 191,517
- Thread starter
- #181
Hizi medani za kibaharia ni level za Colonel 😂!!!Hakuna shida Jombaa, nilichomaanisha kwa kifupi ni kwamba, wanaume wa kipindi chetu hiki unapaswa kuwa mjanja sana na unachokipata dhidi ya wanawake. Jifunze mbinu za kumpata mwanamke kwa gharama ndogo sana, hakikisha unatanguliza maslai yako zaidi kwake kuliko yake.
Usiwekeze kwa mwanamke, hakikisha unakuwa na ahadi usizozitekeleza huku ukiendelea kula vitu pole pole. Kanuni kuu, usitumie pesa kwa mwanamke ila mtengenezee taswira ya kwamba utatumia pesa. Mpaka anakuja kuamka ataishia kukuita mbahili na mbinafsi, muda huo ushapata vyako.
Ujumbe mkuu niliotaka ufikie wanaume ni kwamba wawe na ujanja wa kutumia ubinafsi wa wanawake dhidi yao wao wenyewe. Ukiona unatumia sana pesa ujue wewe bado sana na unafeli pakubwa sana. Usiwe mwanaume unayemnunulia simu au kumlipia kodi, bali kuwa mwanaume unayekula vitu tu. Jifunze ufisi wa kuwekwa kundi hili na mwanamke.
Kwa kila mwanamke kila mwanaume ana kazi yake, hakikisha usiwe mtatuzi wa shida zake.
Kanuni ni zile zile za kibepari, msaada wa mda mfupi...Exploitation ya muda mrefu!