Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Modern men have to learn how to be selfish with their resources. Women are extremely self-serving, and so should you. It is not a coincidence that women gravitate towards financially successful men, and rightfully so.

You, as a financially successful man, should reciprocate by using the least resources and deriving the most value from any woman/women you are interested in. Women really hate successful men who are smart with their resources and that's why they label them as stingy (bahili).

Ukiona mwanaume anaitwa stingy, just know he is a smart man who sampled goods for the least cost/resources. A master of the game in urban "warfare". Women really hate this kind of man because he basically outsmarts them by dangling his resources.
Faza, pale juu komenti ya kwanza umecharaza Kikristo cha ndani kabisa nikajisemea moyoni enheeee, leo Ngumbaru mimi nimekamatika. Hii nyingine tena umeanza na Kikristo cha ndani kweli kweli, ukamaliza na madafu. Naomba unitafsirie hapo juu kama hutojali.
 
"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!

Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.

Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
Hii hali ndiyo inayoendelea kutupa raha wanaume. Tuendelee kutafuta pesa ili tuwatafune warembo tunaowataka.
Nchi zinazojifanya zina usawa suala la mapenzi limejeruhika sana. Watu wamekuwa wapweke sana kwa kukosa uhuru wa kujivinjari kiasi sasa idadi ya wanaume wanaobadirisha jinsia inazidi kuongezeka.
Wanawake wanajunjana wenyewe kwa wenyewe.

Acha tuendelee kulipia tunachokitaka.
 
Sawa boss kazi, we endelea na utaratibu wa purchasing goods and services!
 
Unadhani hatutaki kuoa ndugu! Kumbuka wa kuwaoa ndio hao hao wapiga mizinga reloaded. Plus Mahari nayo ambayo kwa sasa imekuwa ka mtaji kwa familia ya muolewaji.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Faza, pale juu komenti ya kwanza umecharaza Kikristo cha ndani kabisa nikajisemea moyoni enheeee, leo Ngumbaru mimi nimekamatika. Hii nyingine tena umeanza na Kikristo cha ndani kweli kweli, ukamaliza na madafu. Naomba unitafsirie hapo juu kama hutojali.
Hakuna shida Jombaa, nilichomaanisha kwa kifupi ni kwamba, wanaume wa kipindi chetu hiki unapaswa kuwa mjanja sana na unachokipata dhidi ya wanawake. Jifunze mbinu za kumpata mwanamke kwa gharama ndogo sana, hakikisha unatanguliza maslai yako zaidi kwake kuliko yake.

Usiwekeze kwa mwanamke, hakikisha unakuwa na ahadi usizozitekeleza huku ukiendelea kula vitu pole pole. Kanuni kuu, usitumie pesa kwa mwanamke ila mtengenezee taswira ya kwamba utatumia pesa. Mpaka anakuja kuamka ataishia kukuita mbahili na mbinafsi, muda huo ushapata vyako.

Ujumbe mkuu niliotaka ufikie wanaume ni kwamba wawe na ujanja wa kutumia ubinafsi wa wanawake dhidi yao wao wenyewe. Ukiona unatumia sana pesa ujue wewe bado sana na unafeli pakubwa sana. Usiwe mwanaume unayemnunulia simu au kumlipia kodi, bali kuwa mwanaume unayekula vitu tu. Jifunze ufisi wa kuwekwa kundi hili na mwanamke.

Kwa kila mwanamke kila mwanaume ana kazi yake, hakikisha usiwe mtatuzi wa shida zake.
 
kwa maneno haya inaonekana we ni katibu wa mabihili TZ na kwa mantiki hiyo utaendelea kulog in papuchi za wadada wa kawaida na si pisi qali
kwan papucci za hao unaowaita pisi qali zna utofauti gan na hz za wadada wa kawaida?? au hao pisi kali wana papucci mbili?
 
Huyu anakupoteza yy anahonga lkn hapa anajifanya sijui " stingy men are smart na blah blah kibao

Toa pesa upate vitu vizuri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]
kwani unauza sh ngapi?
 
Hakuna shida Jombaa, nilichomaanisha kwa kifupi ni kwamba, wanaume wa kipindi chetu hiki unapaswa kuwa mjanja sana na unachokipata dhidi ya wanawake. Jifunze mbinu za kumpata mwanamke kwa gharama ndogo sana, hakikisha unatanguliza maslai yako zaidi kwake kuliko yake.

Usiwekeze kwa mwanamke, hakikisha unakuwa na ahadi usizozitekeleza huku ukiendelea kula vitu pole pole. Kanuni kuu, usitumie pesa kwa mwanamke ila mtengenezee taswira ya kwamba utatumia pesa. Mpaka anakuja kuamka ataishia kukuita mbahili na mbinafsi, muda huo ushapata vyako.

Ujumbe mkuu niliotaka ufikie wanaume ni kwamba wawe na ujanja wa kutumia ubinafsi wa wanawake dhidi yao wao wenyewe. Ukiona unatumia sana pesa ujue wewe bado sana na unafeli pakubwa sana. Usiwe mwanaume unayemnunulia simu au kumlipia kodi, bali kuwa mwanaume unayekula vitu tu. Jifunze ufisi wa kuwekwa kundi hili na mwanamke.

Kwa kila mwanamke kila mwanaume ana kazi yake, hakikisha usiwe mtatuzi wa shida zake.
Hapo nimekuelewa sasa.
 
Back
Top Bottom