Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

For sure hali imekuwa tete sana,siku hizi watu hawatongozi tena yaan asaiv ni full kununua tu maana hakuna namna,yaan ukiwa na 10k unakula burudani na no stress kabisa...halaf malaya high quality kinyama yaan,,,kuna mmoja nmemchukua juzi aisee yule manzi mkali kinyama full msambwanda..dada zetu wamezid vizinga na kwa taarifa yao asaiv hawatupat ng'o!...kuna mibwege itakuja hapa kupinga et mnawezaje kununua malaya
NI MALAYA PEKEE NDO ANAWEZA KUBEZA HII COMMENT YAKO

nmeandika capital letter makusudically kabisa
 
Haki mtachunwa mpaka ngozi 😆😆😆
Sioni tatizo sana kwenye kutoa pesa as long as nikitaka mambo napata. Ila hili la kugeuzwa kitega uchumi ndio balaa
Wanaume mnatakiwa tu kujiamini, hawa wadada wanaweza kuwapenda tu hata bila hizo pesa, tatizo mnaamini nguvu ya pesa na bapo ndio mnapokosea
Mfano mdada umempenda mkabadilishana number za simu mkaanza kuwasiliana then baada ya muda anaanza kutangaza njaa. Sasa hapo utajiamini vp bila kuwa vizuri kiuchumi?!
Au we unazungumzia confidence ya aina gani?!
 
Sioni tatizo sana kwenye kutoa pesa as long as nikitaka mambo napata. Ila hili la kugeuzwa kitega uchumi ndio balaa

Mfano mdada umempenda mkabadilishana number za simu mkaanza kuwasiliana then baada ya muda anaanza kutangaza njaa. Sasa hapo utajiamini vp bila kuwa vizuri kiuchumi?!
Au we unazungumzia confidence ya aina gani?!
Labda huyo mdada anakua anakuchukulia tu kama danga, ila mdada amabe anakuona unafit kuwa future husband hawezi kufanya hivo kwa kweli
 
Labda huyo mdada anakua anakuchukulia tu kama danga, ila mdada amabe anakuona unafit kuwa future husband hawezi kufanya hivo kwa kweli
Sio danga tu. Hata kama ni future husband wanaanza kwanza kupima size ya mfuko. Ila uzuri wa wanawake wanajua kutwist maneno. Wakisema wanahitaji mwanaume handsome, sijui tall na mwenye kujiamini wanamaanisha na mfukoni awe vizuri pia. 😁😁
 
Inategemeana na

Inategemeana na aina ya kiatu, ninazo pea mbili nimezinunua kipindi kile cha upepo wa kibiti mpaka leo navimba nazo
Basi tumia hivyo kutafuta, vikiisha kabla hujapata mdada wa maana tutasaidiana kununua pea nyingine 🙂🙂
 
Sitaki kuamini kama kuna mwanamke asiyependa pesa na kutanguliza kujua huyu mwanaume nitafaidika naye kwa lipi...

Ana nini! Ana hadhi gani.

Kama wapo tuonyesheni tuwaone.
 
Back
Top Bottom