Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!

Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.

Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
😃😃😃😃 kazi sana mwambaa.. wengine tumwkata ring kabisa la mapenzi.. tunasubiri Neema za Mungu tu.. kurudi tena huko..
 
Hahahah hawa wanawake wa kujivunjiaga ratiba wanaudhi kicenge!
Kama mtu haji bora aseme sio unakula alkasusu kisha anasema haji🤣🤣🤣
Wanatazamaga upepo.. kuna mademu any time ukiwaita wanafika.. ila akiitwa na mtu mwingine inakuwa gear hazikaeli.. hadi mtu akate tamaa 😃😃😃
 
We mwanaume akikufata na maneno matupu bila kuona dalili ya hela mtaelewana kweli au ndio ile...

"Mtende nakupenda sana mama ntafarijika sana kama utakuwa sehemu ya maisha yangu"....

"Asante nashukuru kwa kunipenda!"
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣
 
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo
Jicho kama hilo hapo kwa avatar mamiii?
 
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo
Nikukutana na mwanamke wa design hii huwa lazima nirudi tena na nitamtafuta hadi nitafanikiwa kuwa nae.

Anaeanza kwa kuleta hizi pozi/nyodo/ dharau/ n.k
 
Hahahah hawa wanawake wa kujivunjiaga ratiba wanaudhi kicenge!
Kama mtu haji bora aseme sio unakula alkasusu kisha anasema haji
Ndio hvyo mkuu wanawake wa kiswahili hawajui kabisa umuhimu wa muda.
Mtu unastopisha mishe zote za kwenda kutafuta pesa ukijua leo mtoto anakuja nienjoy naye.
Inafika mchana au jioni anakwambia siwezi kuja nyumbani kuna mgonjwa.
Wakati huo kuna mishe za pesa umeziachia
 
Wapuuz puuz sana wtt wa kiswahili.
 
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣
Utakuwa unajiweza sana basi maana sio kwa dharau hizo mbele ya brifkes lenye kusheheni mashuka ya mmasai 😂!!!

Wanawake wa kuangalia muonekano wamepungua sana, sikuhizi HB ni kidume mwenye penenge!
 
Nikukutana na mwanamke wa design hii huwa lazima nirudi tena na nitamtafuta hadi nitafanikiwa kuwa nae.

Anaeanza kwa kuleta hizi pozi/nyodo/ dharau/ n.k
Una patch ya kuwaingilia sio 😂😂😂 hao si wanapendaga kuchekecha confidence!
 
Huwa najiuliza sana, how come these guys huwa wanakutana na wanawake wa aina hiyo hiyo kila siku🤔🤔

Inabidi wajitazame usikute wanalalamika ilhali wao wenyewe ndio tatizo 😏😏
Kwa experience yangu asilimia kubwa ya hawa dada zetu ukijaribu kuanzisha mahusiano nao wanakugeuza kitego uchumi. Na hii sio kwa Tz tu
 
Utakuwa unajiweza sana basi maana sio kwa dharau hizo mbele ya brifkes lenye kusheheni mashuka ya mmasai !!!

Wanawake wa kuangalia muonekano wamepungua sana, sikuhizi HB ni kidume mwenye penenge!
Sio swala la kujiweza, ni swala la kuheshimu vipaumbele vyako na choices zako
 
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣
Acha hizo wewe! Sasa mtu mwenye pesa atanuka vipi jasho?! Labda pesa za mapaka! 🤣🤣🤣
 
Acha hizo wewe! Sasa mtu mwenye pesa atanuka vipi jasho?! Labda pesa za mapaka!
Anawezekana asiwe ananuka jasho lakini bado akawa hayupo kwenye choices zangu, point yangu ni kwamba wakati mwingine pesa sio kigezo cha kupendwa na mwanamke, na hiki me wengi wanafeli kujua

Sasa mtu unakua na mwanaume ana pesa lakini anamvulia kila mwanamke suruali, hapo kuna mapenzi? Au unakua mtu ana pesa lakini anadhalikisha utu wako na anakushusha tamani yako kwa sababu ya pesa, luna vigezo vingi wanawake huwa wanaangalia na kikubwa ni utu, pesa hata sisi tunajua kutafua, hata chapati tutauza tupate pesa
 
Back
Top Bottom