Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
😆😆😆😆Mimi nimechanjiwa...![]()
Wasaidie na wenzio basi....
😆😆😆😆Mimi nimechanjiwa...![]()
Basi shida ni wao na mbwembwe zao 😅😅Ngumu sana kwa kweli, huwa hawajui wanachokitafuta kwenye mahusiano, wanataka kuonyesha nguvu ya pesa kwenye penzi, demu akirespond wanalalamika kwamba ni biashara
Mie binafsi mademu zangu wote hamna ambaye amewahi kunisumbua kwa invoice kasoro mmoja tu ndio alikuwa kichomi.Sasa muwe mnaongea basi ili Extrovert na wenzie wasiendelee kuamini kuwa shilingi ina upande mmoja tu 😏😏
Mkuu inaonekana huna exposure kabisa! Tena nikuambie hapa Tanzania bado watu wanafanya mapenzi bure kabisa bila kupata ujira wowote. Ulaya hiyo ni ajira kabisa na wanalipa hadi kodi na ukipewa huduma ukaacha kulipa unashitakiwa mahakamani na kufungwa. Hii ni kwa Taarifa yako na wengine ambao hawana exposure ya kutosha kuhusiana na biashara hiyo!!"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!
Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.
Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
ila bongo imezidi bana kwa sababu hamna bei maalumu na biashara inafanyika gizani (black market)!Mkuu inaonekana huna exposure kabisa! Tena nikuambie hapa Tanzania bado watu wanafanya mapenzi bure kabisa bila kupata ujira wowote. Ulaya hiyo ni ajira kabisa na wanalipa hadi kodi na ukipewa huduma ukaacha kulipa unashitakiwa mahakamani na kufungwa. Hii ni kwa Taarifa yako na wengine ambao hawana exposure ya kutosha kuhusiana na biashara hiyo!!
Kama ndivyo basi mshauri nae awe picky kama wewe.Mie binafsi mademu zangu wote hamna ambaye amewahi kunisumbua kwa invoice kasoro mmoja tu ndio alikuwa kichomi.
I might be good at picking the right women but haiondoi ukweli kuwa tatizo lipo.
Hio kitu ni mwamba ndio alikuwa analalamika kwamba spoku zimezidi kwa madem wa mjini na hii ni kwa wengi sio yeye tu
📌📌Kichwa cha habari kibadilishwe kiwe "Bongo ndio nchi pekee ambayo NGONO ni ajira"!
Ni kweli hapa bado ni free ni wewe tu ukiweza kubargain vizuri pia kwa kuwa hawalipi kodi. Ulaya wanalipa kodi kabisa.Hahaha
ila bongo imezidi bana kwa sababu hamna bei maalumu na biashara inafanyika gizani (black market)!
Wapo wanaoumia sana na wengine wanainjoy uchumi wa kati for free😂😂😂
Mimi nimetembelea kama nchi tatu hivi za Afica ambako pia nimekutana na watu weupe.Umetembelea nchi ngapi..unaexposure kiasi gani...Au Basi unakuja na baseless conclusions.
wanaume wengi wanateswa sana mpaka aibu naona mimi.Kuja jamaa alisema Yani ile umeanza tu mawasiliano ya simu demu wa kibongo anakuwa ameishiwa kodi ya nyumba/chumba kwa hiyo umlipie, ameibiwa simu hiyo ulomkuta nayo amefanya kuazimwa kwa hiyo umnunulie, amefiwa na bibi yake mlezi au anauguliwa kwa hiyo umpe nauli aweze kusafiri , nywele zimechoka kwa hiyo umpe hela ya saluni kama anagari atakwambia bovu umpe hela ya kwa fundi,
Kama ni single mother atakwambia mwanangu amefukuzwa Shule hajalipa ada
Sasa jamaa akauliza how coincidence is that?
Yani kila mara ni kutoa shida zake na kutaka pesa tu?!
Wanaume wanaibiwa sana!






Kwa sasa ni ngumu sana ukitumia disposable utatumia kama elf 15-20 ila huyu demu mizinga utatumia laki 2 hadi 4 mpaka mwezi uishe uko hoiDah kweli mzee mwenzangu, kumiliki mwanamke ishakuwa gharama bora kupiga disposable zile.
One in a millionHivi inawezekana kabisa humu hamna wakaka wanaokutana na wadada wasiotanguliza pesa mbele kwenye mahusiano??
Hahahah hawa wanawake wa kujivunjiaga ratiba wanaudhi kicenge!Mimi nimetembelea kama nchi tatu hivi za Afica ambako pia nimekutana na watu weupe.
Kule nilienjoy sana kudate na wanawake.
Maana kazi yangu ilikuwa tu kuwasiliana na kuomba kutoka naye out weekend tu akishakuja namchukua kwenda naye kwenye pub au club au nje ya hotel ninayoishi.
Tukishakaa tunaagiza vinywaji na vyakula tunakunywa vichwa vikichangamka tunaenda chumbani tunaanza maromance tukiamka asubuhi nampa hela ya taxi anarudi kwao.
Sijawahi kupata stress za kuambiwa nitume na ya kutolea.
Wanawake wa huku bongo anataka kila kitu umgharamie kodi,nguo,chakula halafu weekend mnapanga muonane anakwambia tuma nauli,unamtumia nauli unavuruga ratiba zako kumsubiria geto baadae anakutumia meseji sorry baby siwezi kuja nauguliwa na bibi unabaki disappointed.
Wanawake wa nchi zingine kama hana muda anakwambia mapema hana muda,na akikwambia atakuja ana uhakika atakuja.
We mwanaume akikufata na maneno matupu bila kuona dalili ya hela mtaelewana kweli au ndio ile...Ngumu sana kwa kweli, huwa hawajui wanachokitafuta kwenye mahusiano, wanataka kuonyesha nguvu ya pesa kwenye penzi, demu akirespond wanalalamika kwamba ni biashara