Kuja jamaa alisema Yani ile umeanza tu mawasiliano ya simu demu wa kibongo anakuwa ameishiwa kodi ya nyumba/chumba kwa hiyo umlipie, ameibiwa simu hiyo ulomkuta nayo amefanya kuazimwa kwa hiyo umnunulie, amefiwa na bibi yake mlezi au anauguliwa kwa hiyo umpe nauli aweze kusafiri , nywele zimechoka kwa hiyo umpe hela ya saluni kama anagari atakwambia bovu umpe hela ya kwa fundi,
Kama ni single mother atakwambia mwanangu amefukuzwa Shule hajalipa ada [emoji87][emoji87]
Sasa jamaa akauliza how coincidence is that? [emoji87][emoji87]
Yani kila mara ni kutoa shida zake na kutaka pesa tu?!
Wanaume wanaibiwa sana!