Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
Mtu anaweza kufikiria (kuwaza) zaidi ya nusu ya movie ........ Vile vile mtu anaweza kuoneshwa anatembea tuuuuu au analia tuuuuuuu zaidi ya dakika 10 au zaidi
Nyumba ya tajiri ina magari mengi ya kifahari..Mercedez, V8, BMW...halafu tajiri mwenyewe anatoka na corrola 110 au baloon. Tena kama kapigiwa kuwa kuna dharura anatoka ndani mbio na kuacha hayo yote kisha unaona anazama kwenye baloon.!!
Hivi nani wanaotengeneza yale sponsored maigizo kama SIRI YA MTUNGI (correct me kama nimekosea title). Yale maigizo ni mazuri sana na yako very realistic n ukitizama huwezi kutoa kasoro. Bongo movies wanashindwa nini?