Bongo movies subtitle | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo movies subtitle

Discussion in 'Entertainment' started by VKEY, Jan 19, 2011.

 1. V

  VKEY Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda itachukua muda sanaaaaaaaaaaaa
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wanataka kubana matumizi na matokeo yake ndio hayo...kweli subtitles zinatia aibu sana!!
   
 3. V

  VKEY Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni aibu harafu ni hasara kwao maana wanakosa soko la nje kwa ubahili wao. na inakuwaje wanatoa filamu hata bila kuedit hizo lugha!!!!!!!!!! wanaangalia mavazi tuu.
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni aibu katika industry ya filamu, ILA NADHANI HATA WASANII WENYEWE SI WEREVU...I mean hawana elimu saaana kutafakari kazi zao kitaaluma.
   
 5. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  mi kinanikera sana pamoja na tatizo la uhalisia ktk sinema zetu.pale BAKITA kuna wataalam wakali sana wa kiingereza na wanafanya kazi ya tasfiri muda mrefu.kwanini wasiwatumia hawa ????
   
 6. V

  VKEY Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo ndo nashindwa kuwaelewa!!!!!!!!!!!!! Wanafanyia mazoea na hawatumii muda kujiridhisha na viwango wanavyotengeneza!! Na pia suala la fake scenarios.....yaan dahhh
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,176
  Trophy Points: 280
  Jumapili kwenye saa tatu na nusu usiku TBC1, walionyesha movie ya hao Step entertaiment. Jina la hiyo movie ilikua ni aibu,,
  Iliitwa eti "Precious (Siri ya moyo wangu)"

  Hiyo ya kwnye mabano ndo eti wanatufafanulia.
   
 8. V

  VKEY Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo sasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. g

  g-pluc Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  let me a peace of advise kwanini haw awasanii wetu angalao wasiende kusoma manake hamna kitu:frusty:
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  nyie ongeeni tu mwenzenu ray tayari yuko tena jikoni anandaa muvi nyingine mpya,itaisha baada ya wiki mbili zijazo.
   
 11. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hehehe sijui ndio kanumba anatema ungenge movie inaitwa offside. Naskia alienda english course miezi 2.
   
 12. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Tatizo la watz wengi.
  Kila mtu hufikiri anajua saana na hahitaji kuuliza kwa wengine, ndio maana subtitles za kwenye muvi zao zinaboa kama nini.
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi sijaona hii filamu, lakini suala la kubadilisha "title" ya filamu katika tafsiri ni jambo linalotumiwa sana. Mara nyingine, mbali na kuangalia tafsiri ya maneno tu, vilevile inazingatiwa jina linalotoa mvuto zaidi kwa filamu. Unafikiri jina TUNU, THAMANI lingelikuwa bora kwa "Precious" katika mukhtadha wa filamu yenyewe?
   
Loading...