Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,294
- 157,533
Ladha inatokana na vitu vingi sana ambavyo kwa kiasi kikubwa vinatokana na muonjaji, e.g. expectations, communication prior, during and after the do-do, mazingira, physical condition ya muonjaji (you can expect everything to be the same while years have gone by)... ndio maana unaweza ukawa na mpenzi hata wa 20 years but there are special moments where it FEELS LIKE THE FIRST TIME!!!
By the way mleta uzi, umevurua kizungu karibia nilewe kwa kusoma tu... kiswahili ndio mpango mzima next time;
Mtu anaweza kutemewa yai tu akaona ladha yote imekwisha, halafu akalaumu wabongo wa ughaibuni kumbe ni inferiority complex yake tu.
Closed Topic