Bongo blacks at abroad: Why do they tastes differently from when there were in Bongo?

Bongo blacks at abroad: Why do they tastes differently from when there were in Bongo?

Ni sawasawa tastes ya m/mke wa Bukoba au Moshi na yule wa pwani pia taste ni tofauti,,,kuna wale wanaotoka Maji mengi sehem zile zenye Ndizi nyingi(Sio wote lkn wengi wao)


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu me nadhani labda ni majonjo tu ndio huchange but radha am not sure, coz ukikutana nao majuu zile purukashani za bongo wanakuwa wamepunguza.
 
Hahaha sijasoma uzi wote ila hili naomba lijibiwe kisayansi.

Mbu, TIMING, Nyani Ngabu, Kiranga
#ladhahalisi .

halafu najiuliza, wanaume nao ladha zao hazibadiliki? Umezoea ladha ya nanasi halafu mara inakuwa ya chenza? Just wondering...
Itakua maji. Unajua maji yetu matamu sana hivyo ule utamu unaingia kwenye sehemu mbali mbali mwilini....sasa ulaya wana recycle maji ya chooni ndio hayo mnakunywa ladha itatoka wapi sasa... wakati wanakunywa mikojo na vinyesi.
 
Last edited by a moderator:
Ladha inatokana na vitu vingi sana ambavyo kwa kiasi kikubwa vinatokana na muonjaji, e.g. expectations, communication prior, during and after the do-do, mazingira, physical condition ya muonjaji (you can expect everything to be the same while years have gone by)... ndio maana unaweza ukawa na mpenzi hata wa 20 years but there are special moments where it FEELS LIKE THE FIRST TIME!!!

By the way mleta uzi, umevurua kizungu karibia nilewe kwa kusoma tu... kiswahili ndio mpango mzima next time;
 
Masai hajui kunogea ladha. Sheee!
hujawahi ona? Mi nna rafiki mkaka, mkewe anayongoza washkaji. Na jamaa alishaitwagwa gesti kuchukua mkewe. Jamaa akakasirika hadi akanywa sumu. Akaokolewa. Tukio la 9 yrs ago, na wako na mkewe na wanapendanajeeee! They still hold hands wakati wanatembea!

#mahabanikomeshe
Umeona eeenh ati sie ni "k- holic" come shine come rain!!!!!!!
 
Stupid thread...
Wanabodi,

Kuna some topic kiukweli its a "taboo" kuzidiscus, but hili ni genuine questions of either anatomical or psychological!.

Pasco
Jestina, mwanzo wa thread nimeeleza some topics ni taboo kwa wengine!, the best thing unapokutana na topic ambayo ni taboo kwako, ni kuipitia mbali kwa sababu kuna lots of stupid topics humu jf, ila ukikutana nazo, if you are not stupid, utazipitia mbali, but only stupid people ndio wanachangia stupid threads, hivyo stupid Justina thanks kwa kuchangia a stupid thread kwa kutujulisha ni stupid thread!.
Thanks ila pia nakuomba usikasirike kwa mimi kukuita Stupid Jestina kwa sasa hata mimi ni stupid Pasco.
Pasco.
..................
 
Pasco, nilichomaanisha watupe research samples za kutosha lol.

ila hata Janjaweed kaona labda tatizo lilikuwa kwenye ulimi wako kushangaa ugenini hadi haukupata ladha? Manake uwanja wa nyumbani inawezekana ukakupa favor. Halagu uache kula viporo rafiki, sio salama kwa afya lol
 
Last edited by a moderator:
Pasco, nilichomaanisha watupe research samples za kutosha lol.

ila hata Janjaweed kaona labda tatizo lilikuwa kwenye ulimi wako kushangaa ugenini hadi haukupata ladha? Manake uwanja wa nyumbani inawezekana ukakupa favor. Halagu uache kula viporo rafiki, sio salama kwa afya lol
King'asti, Kwa vile issue nyingine ni taboo kwa wengi, naamini kuna wenzangu wengi hili wamekutana nalo ila hawawezi kuja to an open kama hapa na kulisemea!.

Hili la ni ulimi wangu tuu, pia linawezekana kwa sababu kwenye psychological aspects zina play a very big role between what you see and what you get!.

Wengine wetu tuko hype sensitive, ukimega "tunda" lililoshamegwa, something tells you "limemegwa!" ila huwezi kumweleza mwenzako that kwa sababu you have no any proof na sana sana utaibua maugomvi tuu, unachofanya kuendelea kujimegea but at that moment the "apple" utalisikia ni "ice cold apple!", kisa "intuition!" imekueleza au unakula "kiporo!" au unakula "makombo!".
Pasco
 
Taste zinasababishwa zaidi na vyakula...vyakula vya asili vinaleta taste nzuri zaidi...ndo maana hata kuna mikoa fulani wana taste nzuri zaidi..mikoa ya ndizi nyingi


Banana culture wako vizuri na wako active sana kwenye yale mambo!
I stand to be corrected.
 
Pasco, nilichomaanisha watupe research samples za kutosha lol.

ila hata Janjaweed kaona labda tatizo lilikuwa kwenye ulimi wako kushangaa ugenini hadi haukupata ladha? Manake uwanja wa nyumbani inawezekana ukakupa favor. Halagu uache kula viporo rafiki, sio salama kwa afya lol
ni kweli, kiporo yake ni mashuzi tu, na mashuzi yake harufu... na harufu aka hallluuufu hallluuuufu yake ni mikosi tu

Anyway, wanasema hakuna awali mbovu... awali ni awali
 
Back
Top Bottom