Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Ccm hadi leo hawajakubari kama arusha si yao tena, siunajua wale wanaoitwa wafadhiri hupenda kuja kula bata arusha so inakua aibu kwao kuwaambia kuwa mji uko mikononi mwa opposition.

Solution ni kupiga mabomu?
 
Usalama mashakani,hawa watu Ni akina nani hasa❓➖kipi wanakihitaji❓

Mkuu usisahau kuna watu wakiona mambo yao hayaendi kama watakavyo huamua kuharibu ilimradi tukose wote.
 
Je kama wamejitegea? Maana dola hii ambayo sina imani nayo nitakua wa mwisho kuamini kuwa hawajajitegea.
Mkuu mtu mwenye nia thabiti ya kufanya uharifu mkubwa kama milipuko, hawezi hata siku moja akaweka improvised explosives au a real one sehemu ambayo vitaonekana kirahisi ili wenye malengo yao OVU wapate publicity STUNT ya kutosha, baadae kabisa wa-zero in kuwatia misuko suko watu ambao hawahusiki kabisa!!

Binafsi publicity STUNTS hizi za kitoto sizipendi kabisa - tusipokuwa makini Taifa letu linaweza kujikuta linajingiza katika machafuko ya kijinga kutokana na baadhi ya Watanzania wenzetu, wengi wao wenye dhamana kujaribu ku-manufacture migogoro hisiyo kuwa na kichwa wala miguu, Tanzania ni ya watu wote tunapaswa kukemea kwa nguvu zetu zote kwa wenzetu wenye lengo la kuleta vurugu za kuchonga tu.

Mimi nawapa rahi kwamba unaweza kuchonga migogoro na machafuko lakini huna uwezo wa Kimungu au kinabii kujuwa mwisho wake utakuwa vipi. Huku kutoona mbali kwetu ni rahisi nchi ambazo zina lengo baya na Taifa letu ku-exploit ukosefu akili wa kwetu kuwapenyeza watu wageni tukajikuta tunayo yasikia kwa majirani zetu yanahamia kwetu! YOU'VE BEEN WARNED, lazima Watanzania bila ya kujali Vyeo vyetu/wadhifa kufikilia mara mbila kabla hatujaruka i.e think TWICE b4 you LEAP.
 
Majajusi wa kiccm hao hawataki arusha iwe ngome ya cdm ndiyo maana kila uchao utasikia mabomu mpaka cdm mukome

Mulongo nyumbani kwake analindwa na askari 24hours iweje bomu litegwe kwake. Police watujua nani kalitega otherwise ni mchezo mchafu.
 
Huu si wakati wa kumlaumu mtu tukae tufikirie kwa pamoja kwa nini Arusha iimekumbwa name mfululizo wa milipuko Luna nini au kuna uhusiano milipuko hiyo name Ugaidi? Au no masuala ya kisiasa? Tujiulize ndugu zangu. Malumbano salsa siyo sehemu yake.
 
Kumuacha mbunge wa arusha lema, bila kushikiliwa ni kosa. Ata chaadema walishasema nchi athitatawalika . Wameaanza kwenye ameneo ye ushawishi na chama chao.

Kama mimi ni mkuu wa usalama. Kamata lema ,slaa na mbowe seka ndani kwa manufaa ya umma
 
Ccm inazidi kutuonyesha Uhalisia wake kwamba inatutawala kwa manufaa ya viongozi wake..Wananchi kwa CCM Sio kitu labda wakati wa uchaguzi..Je WATANZANIA TUTAENDELEA KUWA WAJINGA HADI LINI kukichagua chama kinachoua ndugu zetu na kutugawa kidini na kikabila hadi lini???
 
Ubalozi wa Marekani unalindwa na nani??? ........nilishakuambia nina wasiwasi na elimu yako.

Kuna sababu gani ya kuwa na walinzi? Hilo siyo jambo la kufanyia mzaha. Kuna maswali mengi Sana yanahitaji majibu ya kina. Nani aligundua Hilo bomu? Wakati gani? Anadhani limekuwapo hapo kwa muda gani? Walinzi walimwona au hawakumwona mtegaji?
 
Kumuacha mbunge wa arusha lema, bila kushikiliwa ni kosa. Ata chaadema walishasema nchi athitatawalika . Wameaanza kwenye ameneo ye ushawishi na chama chao.

Kama mimi ni mkuu wa usalama. Kamata lema ,slaa na mbowe seka ndani kwa manufaa ya umma

Kuhusu komba kuingia msituni je?
 
Kumuacha mbunge wa arusha lema, bila kushikiliwa ni kosa. Ata chaadema walishasema nchi athitatawalika . Wameaanza kwenye ameneo ye ushawishi na chama chao.

Kama mimi ni mkuu wa usalama. Kamata lema ,slaa na mbowe seka ndani kwa manufaa ya umma

chadema lazima wanahusika na haya mabomu
 
kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa mwenyekiti wake ni huyo Mulongo Magesa.
sasa tunategemea taarifa za kiusalama na wajibu wa kutunza usalama upo mikononi mwake.
Je! Mkuu huyu wa Mkoa anaweza kutupa taaarifa ya kuridhisgha juu ya milipuko Arusha tukianza na Olasiti mpaka huu wa kwa nyumbani kwa Sheikh?? Ni hatua gani muhimu amaechukua kiusalama kama mwenyekiti wa kamati ya usalama wa mkoa?
Nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa kuna ulinzi wa polisi masaa 24. Waliwezaje kuweka bomu getini ambako walinzi hukaa?
 
Loading.....................erroorrr.';','m.';]886'''',,x==7!!!!!!!!!!!!!!*******
 
Huu si wakati wa kumlaumu mtu tukae tufikirie kwa pamoja kwa nini Arusha iimekumbwa name mfululizo wa milipuko Luna nini au kuna uhusiano milipuko hiyo name Ugaidi? Au no masuala ya kisiasa? Tujiulize ndugu zangu. Malumbano salsa siyo sehemu yake.
Maswali yako yanaweza kujibiwa tu na vyombo vyetu vya usalama ambavyo vimekabidhiwa majukumu hayo. Bahati mbaya sisi watu wa kawaida mitaani tutakuwa tuna speculate tu. Inasikitisha kwamba vyombo hivi havifanyi tunachotegemea watufanyie na matokeo yake ndiyo hizi speculation za kisiasa zinazoendelea kutugawa!
 
Enzi ya nyerere na Mkapa thubutu utege bomu lazima ukamatwe,usalama wa taifa ulikua kazini,sio sasa wanaitwa usalama wa siasa
 
Masikini mulongo ! TULISHAMWAMBIA KITAMBO SANA KWAMBA DUNIA NI MAPITO TU , TUSINYANYASANE MAANA HATUJUI SAA WALA DAKIKA .
 
Mkuu mtu mwenye nia thabiti ya kufanya uharifu mkubwa kama milipuko, hawezi hata siku moja akaweka improvised explosives au a real one sehemu ambayo vitaonekana kirahisi ili wenye malengo yao OVU wapate publicity STUNT ya kutosha, baadae kabisa wa-zero in kuwatia misuko suko watu ambao hawahusiki kabisa!!

Binafsi publicity STUNTS hizi za kitoto sizipendi kabisa - tusipokuwa makini Taifa letu linaweza kujikuta linajingiza katika machafuko ya kijinga kutokana na baadhi ya Watanzania wenzetu, wengi wao wenye dhamana kujaribu ku-manufacture migogoro hisiyo kuwa na kichwa wala miguu, Tanzania ni ya watu wote tunapaswa kukemea kwa nguvu zetu zote kwa wenzetu wenye lengo la kuleta vurugu za kuchonga tu.

Mimi nawapa rahi kwamba unaweza kuchonga migogoro na machafuko lakini huna uwezo wa Kimungu au kinabii kujuwa mwisho wake utakuwa vipi. Huku kutoona mbali kwetu ni rahisi nchi ambazo zina lengo baya na Taifa letu ku-exploit ukosefu akili wa kwetu kuwapenyeza watu wageni tukajikuta tunayo yasikia kwa majirani zetu yanahamia kwetu! YOU'VE BEEN WARNED, lazima Watanzania bila ya kujali Vyeo vyetu/wadhifa kufikilia mara mbila kabla hatujaruka i.e think TWICE b4 you LEAP.
Nimesikia gazeti moja leo limeandika kuwa jeshi letu limesifiwa katika ulinzi wa amani (baada ya kuwa twangs M23) na nchi zinakimbizana kutoa vifaa vya kivita! Kinachonishangaza ni kushangilia huku kupewa vifaa vya kivita na mataifa makubwa! Tunahitaji kufikiri nje ya box...
 
Serikali ya CCM kweli imefika mwisho! Mambo mengine kweli ni ya kijinga, hayana hata chembe cha ubunifu! Ehe! safari hii sijui ni madai gani watakuja nayo katika harakati zao za kuhamisha goli. Walipataje habari kuwa kuna bomu limetegwa? Nani wanataka kumbambikizia hii kesi? Usanii mtindo moja!

Ukiripukiwa wewe ndio utajua ni seriasi au la.
 
Back
Top Bottom