Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Arusha is not safe again ,kuna conspirancy theorem hapa sio bure,hapo hata jirani zetu wa Kenya na Uganda tuwaangalie bila kusahau waanzilisha wa policy za Ant-terorrism,they want Tanzania to be involved directly in the policy
 
ndo maana ccm wanafanya huo uchafu kuwakomaa wananchi kumbe ndo wanazidi kuharibu

Ndiosababu kubwa tu,hats hivyo wanakosea kwani huu mfumo wa vyama vingi aliubaliki mwenyekiti wao wakati huo baba wataifa jk nyerere.
 
Msifanye masihara katika masuara nyeti, sisi tuko Arusha ndo tunaface pinch
Badilikeni basi muwe Watu wa Amani (Ujanja mwingi wa uchalii) mnawaponza hadi wazee na vikongwe
au kwa vile mko karibi na Kenya na Somalia
au kwa Vile mpo na wasomali
mbona huku Dodoma hiyo kitu hakuna kabisa
na tunalo Bunge na Bunge la Katiba

Poleni MUNGU yu Pamoja na ninyi kwani mmeanza naye
 
Kumuacha mbunge wa arusha lema, bila kushikiliwa ni kosa. Ata chaadema walishasema nchi athitatawalika . Wameaanza kwenye ameneo ye ushawishi na chama chao.

Kama mimi ni mkuu wa usalama. Kamata lema ,slaa na mbowe seka ndani kwa manufaa ya umma

nimekudharau sana !
 
Binafsi nina mashaka na Mbunge wa Arusha. Ahojiwe...
Na hiyo ndio target yenu kubwaa, lakini nawahakikishia ccm mbinu hii haiwezi kufanikiwa hata kidogo mnajisumbua bure maana wananchi wote wanajua hizo ni hujuma za ccm dhidi ya LEMA.
 
Arusha is not safe again ,kuna conspirancy theorem hapa sio bure,hapo hata jirani zetu wa Kenya na Uganda tuwaangalie bila kusahau waanzilisha wa policy za Ant-terorrism,they want Tanzania to be involved directly in the policy

Huna haja ya kuvuka mipaka ya nchi ukachuma dhambi bure MWIGULU AND CO.wanajua kila kitu kuhusu haya mabomu. Msipoteze mda bure wakati swala lipo bayana hujuma za ccm dhidi ya LEMA ili wapate cha kuongea wakiwa kwenye kampeni ,fired ccm!
 
Who is the target in Arusha?? Why Arusha wakati wengi (wanadini+wanasiasa) wako Dar? :laugh:
NImesihiwa nguvu.Sana,nimesikia habari very late tena hapa ndipo nikaulizia watu.Well, sijawa sana hapa JF,wala media nyingine,kwani nilikuwa nimechoka sana habari za hii nchi ,na majibu ya kishenzi ya watu hapa,ya viongozi wa nchi.Najiuliza km ndio kipindi cha wazalendo kuanza iangalia nchi yao tena,kujiuliza km zile kampeni za uzalendo,ukombozi wa Africa,zilikuwa worth it km nchi imekuja pewa fisi,imekuja pewa watu wanaopigana na rai na si kulinda nchi.Its paininful...Dar ipigwe kwanini,kwani ni ya wakaskazini.Hii ndio nchi ilipofikishwa na wabaguzi.
 
Arusha is not safe again ,kuna conspirancy theorem hapa sio bure,hapo hata jirani zetu wa Kenya na Uganda tuwaangalie bila kusahau waanzilisha wa policy za Ant-terorrism,they want Tanzania to be involved directly in the policy
msitafute sabau za kujifikirisha,tangu mwanzo wa hii spree a ugaidi na mauji na unyanyasaji serikali ya CCM haijaweza washawishi sana watz km haihusiki.Hizi tabia za kujibunia kila kitu ili kukwepa uhasilia kunawafanya CCM wameendelee kuwepo.
 
NImesihiwa nguvu.Sana,nimesikia habari very late tena hapa ndipo nikaulizia watu.Well, sijawa sana hapa JF,wala media nyingine,kwani nilikuwa nimechoka sana habari za hii nchi ,na majibu ya kishenzi ya watu hapa,ya viongozi wa nchi.Najiuliza km ndio kipindi cha wazalendo kuanza iangalia nchi yao tena,kujiuliza km zile kampeni za uzalendo,ukombozi wa Africa,zilikuwa worth it km nchi imekuja pewa fisi,imekuja pewa watu wanaopigana na rai na si kulinda nchi.Its paininful...Dar ipigwe kwanini,kwani ni ya wakaskazini.Hii ndio nchi ilipofikishwa na wabaguzi.

inauma Sana mkuu
 
Huu ni usanii tu. Nyumba ya mkuu wa mkoa inalindwa na FFU 24/7. Hao waliotega hilo bomu kwa nini hawakuonwa na hao askari na lilitegwa getini?

Nasema tena ni usanii.

Tiba

Ukiona hivi jua kuna mahali wana lenga kwenda kufanya kweli kote huku wnatengeneza Mazingira tu .Haiwezekani Nyumbani kwa Mkuu wa mkoa panapolindwa mtu aje atege Bomu getini asionekane.Hawa wanacheza na mind za watu ili mwisho wakapige kwenye target yao na wakiulizwa wasema mbona hata sehemu zingine zililipuliwa au kunusurika.

Serikali iliyokata tamaa haina tofauti na ng`ombe aliye katwa shingo tayari lakini amemponyoka Mchinjaji a, takumba kila anachokutana nacho njiani akiamini ni kujinusuru na ndilo linalotokea Arusha hayo mabomu yote ni ya Kisiasa hakuna ugaidi wala uharamia MULONGO NA WENZAKE WANAWEZA KUWA NA MAJIBU MAZURI ZAIDI KWANI SI ALISHA WAITA FBI arusha na haja tutangazia iwapo waliondoka na dhani wachunguze na haya pia.... CCM ni ufalme uliofitinika na tusipokuwa makini watatumaliza wote
 
msitafute sabau za kujifikirisha,tangu mwanzo wa hii spree a ugaidi na mauji na unyanyasaji serikali ya CCM haijaweza washawishi sana watz km haihusiki.Hizi tabia za kujibunia kila kitu ili kukwepa uhasilia kunawafanya CCM wameendelee kuwepo.

Mkuu hii ni kweli kabisa hapo hakuna cha consipiracy theory na Mhusika ni CHAMA CHA MAPINDUZI NA JESHI LA POLISI.WAMESHAKULA NA KUNYWA DAMU ZA WANANCHI SOWETO ....LAANA INAWAFUATA HAWAWEZI KUACHA WATAENDELEA TU KUTAMANI KUA NA KUMWAGA DAMU ZAIDI NA ZAIDI....Wakitaka kumaliza na kukata mzizi wafitina wakamate wale walio lipua SOWETO jambo ambalo kimsingi hawezi kulifanya kwani itakuwa ni sawa na kujipiga RISASI
 
Hiyo nyumba inalindwa kila muda sasa hii imekaaje kama c kiini macho???????????????????????????????
 
msitafute sabau za kujifikirisha,tangu mwanzo wa hii spree a ugaidi na mauji na unyanyasaji serikali ya CCM haijaweza washawishi sana watz km haihusiki.Hizi tabia za kujibunia kila kitu ili kukwepa uhasilia kunawafanya CCM wameendelee kuwepo.

usalama wa Arusha na suala la vyama linakujaje?can you think outside the box?
 
Niliwahi kuandika humu jf kushauri wasimamizi wote was usalama mkoani Arusha waangaliwe upya. Maana wao wamebaki kuwa wapambanaji was upinzani tofauti name kazi zao.
 
Jana nilicheka sana baada ya kuona askari was bodaboda na hawa wa gari wamefanya issue hii ya mabomu ni deal yao ya kupata hela.
Kila gari wakiona limebeba kamfuko wanakimbia nalo kisha wakilikamata wanaishia kupewa hela ya chai au watoke mswaki.
Sasa kwa hali hii watakamata mbeba Bomu kweli??
 
Huu ni usanii tu. Nyumba ya mkuu wa mkoa inalindwa na FFU 24/7. Hao waliotega hilo bomu kwa nini hawakuonwa na hao askari na lilitegwa getini?

Nasema tena ni usanii.

Tiba

You are very right, nilishakaa nyumbani kwa mkuu wa mkoa, kusema kuwa mtu alitega bomu getini na asionekane ni vichekesho, kibanda wanacho kaa walinzi kiko getini!!!!! What a joke!
 
Back
Top Bottom