Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Lema ni janga arusha
chadema wameharibu mji wa Arusha. Huku Dodoma hatutaruhusu huu ujinga utokee.
Msifanye masihara katika masuara nyeti, sisi tuko Arusha ndo tunaface pinch
Je kama wamejitegea? Maana dola hii ambayo sina imani nayo nitakua wa mwisho kuamini kuwa hawajajitegea.
Binafsi nina mashaka na Mbunge wa Arusha. Ahojiwe...
Binafsi nina mashaka na Mbunge wa Arusha. Ahojiwe...
Kiongozi ulikuwa kwenye mawazo yangu! Motives ni nini? akina nani walianzisha huu upuuzi wa kuwalipua raia? ... Instinct zangu zinalandana na zako 100%... I wish JK angebadilisha kamati nzima ya ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha ...
Umekuwa msemaji wa WanaDodoma toka lini? Mabadiliko ni sawa na mafuriko utake ustake huwezi yazuia kwa mikono yako na mkeo tu!
sidhan kama unaweza fananisha marekani na kila kilichochake vinavyowindwa na magaidi na in real sense ni ughaidi, na huu uchwara unaofanywa na wahuni poorly experienced. unataka kusema huu nao ni ughaidi? Na ww fikiri kidogo kabla ya kumhukum mwenzioUbalozi wa Marekani unalindwa na nani??? ........nilishakuambia nina wasiwasi na elimu yako.
Asubuhi hii askari Polisi na wa Jeshi wameizingira nyumba ya Serikali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo iliyopo jirani na Mahakama Kuu Arusha wakijaribu kutegua kinachodhaniwa kuwa bomu kikiwa kimetegwa katika geti la kuingilia nyumba hiyo na watu wasiojilikana.
Hat kinjia kinachokatiza maeneo hayo kutokea Mt Meru Hotel nacho kimefungwa kwa muda.
Wakati huo huo kuna taarifa za usiku zikieleza watu kadhaa wamejeruhiwa katika Mgahawa mmoja maeneo ya Gymkhana Jijini hapa na wawili kati yao wako katika hali mbaya.
Hili litakuwa tukio la sita kutokea katika Jiji la Arusha ndani ya muda mfupi, kuanzia May 2013 mpaka sasa.
Tukio la kwanza lilikuwa Kanisani Olasiti watu watatu wakafa.
Baadee katika Mkutano Chadema Soweto watu watatu wakafa tena na mamia kulemaa
Ikafuata Usa River siku ya Mkesha wa mwaka mpya kwa wamama waliokuwa wanatoka kanisani
Halafu katoka Bar ya Arusha Night Park
Juzi hapa ikawa kwa nyumbani kwa Sheikh maeneo ya Majengo
Na sasa katika hiyo Vama Restaurant na chupuchupu kulipua nyumbani kwa RC!
Kwa Mlonngo hapa lingelipuka nadhani isingepita wiki walipuaji wangekamatwa
Who is the target in Arusha?? Why Arusha wakati wengi (wanadini+wanasiasa) wako Dar? :laugh:
Binafsi nina mashaka na Mbunge wa Arusha. Ahojiwe...
Ubalozi wa Marekani unalindwa na nani??? ........nilishakuambia nina wasiwasi na elimu yako.
Tatizo ni kwanini cdm inakubalika sana pale?
Lema ni janga arusha