kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia! Mungu aziweke roho za marehemu waliouawa mahali pema peponi. Amina.
Chadema si mara ya kwanza kuweka uongo kama huu .
kama mnakumbuka chadema wamewahi kutaja mpaka namba ya simu ya zito kwa madai ya kuwa ni ya afisa usalama.
kwa nini leo washindwe kuandika namba ya gari la polisi na kusema ndiyo imehusika.
chadema kwa siku za hivi karibuni kinafanya kila aina ya siasa chafu japo hazitawasaidia sana.
Punguza povu unauelewa uwanja wa Soweto ulipo? jukwaa lilikuwa karibu na barabara hata watu wengine walikuwa wanapita barabarani bila shida, hujui kuna mtoto wa madrasa alipigwa risasi wakati akipita kwenye barabara hiyo,Ni mtoto na mpuuzi anaweza amini hicho kiapo lakini sio Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo mpaka Jajihapa watu mtawaita wenzenu wapuuzi kwa ajili ya ushabiki na mitusi kibao
Lakini ukiulizwa
[*=1]Nyomi iliyokuwa pale Soweto ilijaa zaidi ya kiwanja cha mpira au zaidi ya 100sq
[*=1]Hivi magari yanaposimama nje ya umati wa Mkutano hadi mtu kuja kwenye gari la matangazo ambalo ndilo jukwaa utamuona au utamfuatilia kwa nyuma mpaka arushe handgrenade bila kutoa taarifa asipenye kwenda panda gari lingine? na yuko peke yake huku akisindikizwa na PT 1179
[*=1]Labda kwa wale ambao hawakuziona picha za Mkutano huo ndio ataamini unaweza penya na helmet hadi gari ya matangazo na kutoka salama
"Nilikuwa nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya saa 12 kasorobo jioni siku ya tarehe 15 Juni 2013 nilimwona mtu aliyevaa helmeti ya polisi akishuka kwenye gari namba PT. 1179 na kurusha kitu kilicholipuka baadaye kukimbia na kuingia gari la kiraia lililokuwa mbele ya gari la polisi alilokuja nalo baadaye gari hilo kuondoka likisindikizwa na gari la polisi alilokuja nalo"
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tanzania ni miongoni mwa mataifafa yenye vyombo imara vya dola,polisi wetu kamwe hawawezi kushiriki mauaji ya raia tena kwa kutumia mabomu,mwisho nawasihi muache tabia ya kutumia social media kupotosha wananchi ambao wanategemea jeshi hilo kwa ajili ya ulinzi na usalama wao,,jeshi letu ni imara na makamanda wetu wamepata mafunzo mazuri,ni wazalendo na kamwe hawawezi kujihusisha na vitendo kama hivyo
Tanzania ni miongoni mwa Mataifafa yenye vyombo imara vya dola,polisi wetu kamwe hawawezi kushiriki mauaji ya raia tena kwa kutumia mabomu,mwisho nawasihi muache tabia ya kutumia social media kupotosha wananchi ambao wanategemea jeshi hilo kwa ajili ya ulinzi na usalama wao,,jeshi letu ni imara na makamanda wetu wamepata mafunzo mazuri,ni wazalendo na kamwe hawawezi kujihusisha na vitendo kama hivyo
Usicomment kwa kufuata hisia tu na mihemko.....Mimi nilikuwepo kwenye mkutano ule.Trust me! hapakuwa na fujo hata chembe zaidi ya hutuba na vijembe vya kisiasa vya hapa na pale.Bomu lilipolipuka tu na polisi wakaanza kupiga watu risasi instantly!Sasa polisi wakihusishwa na hili unawatetea nini?Circumstantial evidence zote sina-suggest hivyo.
KAma ni kwa mantiki hiyo ninaweza kukubaliana na wewe!
Lakini hadi ifanyike hivyo inamaanisha Polisi wote nchini wapo against chadema au kitu kama hicho? #sidhani
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
unaambiwa siri huwa ni ya mtu mmoja tu lakini wakishakuwa zaidi ya watatu au wawili hyo siyo siri tena bado watatajana wote...pia watu wote waliofanya lile tukio muda utafika watatajana mmoja baada ya mwingine
Hilo gari baada ya thread hii litabadilishwa namba haraka sana na kuhamishiwa Biharamulo.
Thats the best our Police force can do with regard to intelligence!
Bomu ni la kutupa, Mkutano ulikuwa unafanyika viwanja vya wazi chini ya ulinzi wa Police jioni kweupeee. Je nani anaweza kwenda na kutupa bomu bila ya kuonekana? Ni jasiri gani anayeweza kufanya ugaidi huu pasipo ogopa police? Je kama waharifu wamefikia ujasiri huu, Jeshi letu la Police lina faida gani? Kulikuwa na umuhimu gani wa Police kuwepo kwenye huo mkutano? Kilikuwa na haja gani kwa Police kilipua mabomu ya machozi na kufyatua risasi za moto? Je unajua matumizi ya mabomu ya machozi? Lazima yule mtupa bomu, alihakikishiwa ulinzi na watu wenye dhamana ya ulinzi.kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Autoe amonenyeshe Bibi yako? Si alisema hawewezi kunesha watuhumiwa maccm na policcm? Tunataka iundwe tume huru ndo tuwaonyeshe.