Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,084
Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..
NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.
Duuh...mangi wewe kiboko, yaani magari yote ya Polisi Arusha na namba zao unayafahamu!