Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
Hakusoma gari la pili la kiraia kwa vile baada ya bomu kulipuka polisi walimtandika risasi ya mguu na kuanguka chini, una jingine.Kama alifanikiwa kusoma namba ya gari la polisi, iweje ameshindwa kusoma hilo gari la kiraia? Halafu hawa mashuhuda mbona wanajichanganya? Wadau, si mnakumbuka yule aliyesema kuwa alimwona mrusha bomu akiwa amevaa kaptula ya jinsi ikiwa imechanika chanika? Tuelewe lipi sasa?