Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

Maneno ya shuhuda yanajichanganya.
=alimwona mtu amevaa helmet akishuka toka kwenye gari la polisi ametaja namba,AKARUSHA BOMU.
=kisha akamuona akikimbia na kuingia kwenye GARI LA KIRAIA ALILOKUJA NALO.
Huyo shuhuda alijua kuwa huyo mrusha bomu kaja na gari la kiraia?.
Ilikuaje kama kaja na gari la kiraia ATOKE TENA KWENYE GARI LA POLISI NA KURUSHA BOMU.
Kama maelezo ya shuhuda ndo hayo,ina maana alikua anafaatilia issue yote tangu mwanzo wakati magari yanakuja eneo la tukio hadi kufikia kujua kwamba mtu fulani kaja na gari fulani.
In short huo ushuhuda ni wa kutengeneza.
 
Chadema si mara ya kwanza kuweka uongo kama huu .

kama mnakumbuka chadema wamewahi kutaja mpaka namba ya simu ya zito kwa madai ya kuwa ni ya afisa usalama.

kwa nini leo washindwe kuandika namba ya gari la polisi na kusema ndiyo imehusika.

chadema kwa siku za hivi karibuni kinafanya kila aina ya siasa chafu japo hazitawasaidia sana.
 
mkuu sikupenda ulipukaji wa bomu arusha ila umenichekesha kwenye blue!

[/QUOTE]
Japokuwa Polisi
wameruhusiwa kuua na
Waziri mkuu, lakini bado
wanaweza kuhojiwa
kwanini waliua kabla
pinda hajawaruhusu?[/QUOTE]

Jamaa kanichekesha sana! Nimeshindwa kukoment chochote! Hahahaha.
 
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Autoe ampe nani? akupe wewe? na kama akikupatia utaufanyia nini?
 
Hilo ni kweli kabisa. Hawa wauaji mie kuwaita polisi nasikia kichefuchefu cha hali ya juu.

Hilo gari baada ya thread hii litabadilishwa namba haraka sana na kuhamishiwa Biharamulo.
Thats the best our Police force can do with regard to intelligence!
 
Chadema si mara ya kwanza kuweka uongo kama huu .

kama mnakumbuka chadema wamewahi kutaja mpaka namba ya simu ya zito kwa madai ya kuwa ni ya afisa usalama.

kwa nini leo washindwe kuandika namba ya gari la polisi na kusema ndiyo imehusika.

chadema kwa siku za hivi karibuni kinafanya kila aina ya siasa chafu japo hazitawasaidia sana.
Povu la nini? Mbona mnatoka povu sana...Subiri wakati ufaao kisiasa kuwaumbua.
 
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

....nge!
 
Mkuu nadhani ulisikia kwamba polisi wengi walitoka Morogoro na mikoa mingine hivyo si ajabu gari/magari yalitoka mikoa mingine.


Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..

NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.
 
Polisi ni watuhumiwa wa uhalifu mwingi tu Tanzania leo, kesho na milele.
CCM kwa kupitia Jeshi la Mwema na Chagonja (halistahili kuitwa jeshi la Taifa) wamefanya mauaji na mateso mengi sana kwa raia.

Rai yangu ni kwa kila raia na mzalend mwenye ushahidi wa aina yoyote popote alipo autunze na kuwashirikisha raia wema kwa ajili ya hatua zaidi baada ya ukombozi.
 
Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..

NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.

Hiyo siyo hoja. Labda useme polisi Tanzania haina gari lililosajiliwa kwa namba hiyo. Kwani gari hiyo yaweza kuletwa kutoka mahali pengine Kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa Lumumba wameanza kutokwa povu muangalie huyu
user-online.png
scramble

Inawezekana ndo msemaji wa karakana ya magari Arusha
 
Maneno ya shuhuda yanajichanganya.
=alimwona mtu amevaa helmet akishuka toka kwenye gari la polisi ametaja namba,AKARUSHA BOMU.
=kisha akamuona akikimbia na kuingia kwenye GARI LA KIRAIA ALILOKUJA NALO.
Huyo shuhuda alijua kuwa huyo mrusha bomu kaja na gari la kiraia?.
Ilikuaje kama kaja na gari la kiraia ATOKE TENA KWENYE GARI LA POLISI NA KURUSHA BOMU.
Kama maelezo ya shuhuda ndo hayo,ina maana alikua anafaatilia issue yote tangu mwanzo wakati magari yanakuja eneo la tukio hadi kufikia kujua kwamba mtu fulani kaja na gari fulani.
In short huo ushuhuda ni wa kutengeneza.
Soma tena kwa uangalifu utaelewa, alikuja kwa gari la polisi akaondoka kwa gari la kiraia.
 
we hujakomaa katika maswala ya kiintelijensia....sio lazima litumike gari la arusha...kwani hata polisi waliotumika ni wa kutoka morogoro, sembuse gari?
 
Tanzania ya leo afadhali ukamatwe na jambazi au vibaka kuliko jeshi la mwema, kazi yao ni kutesa,kuua na hata kung'oa kucha raia wema!
 
Nauliza Pinda anatoa leseni za kuua (licensing killers)?
 
Ni mtoto na mpuuzi anaweza amini hicho kiapo lakini sio Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo mpaka Jajihapa watu mtawaita wenzenu wapuuzi kwa ajili ya ushabiki na mitusi kibao
Lakini ukiulizwa


  • [*=1]Nyomi iliyokuwa pale Soweto ilijaa zaidi ya kiwanja cha mpira au zaidi ya 100sq

    [*=1]Hivi magari yanaposimama nje ya umati wa Mkutano hadi mtu kuja kwenye gari la matangazo ambalo ndilo jukwaa utamuona au utamfuatilia kwa nyuma mpaka arushe handgrenade bila kutoa taarifa asipenye kwenda panda gari lingine? na yuko peke yake huku akisindikizwa na PT 1179
    [*=1]Labda kwa wale ambao hawakuziona picha za Mkutano huo ndio ataamini unaweza penya na helmet hadi gari ya matangazo na kutoka salama


"Nilikuwa nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya saa 12 kasorobo jioni siku ya tarehe 15 Juni 2013 nilimwona mtu aliyevaa helmeti ya polisi akishuka kwenye gari namba PT. 1179 na kurusha kitu kilicholipuka baadaye kukimbia na kuingia gari la kiraia lililokuwa mbele ya gari la polisi alilokuja nalo baadaye gari hilo kuondoka likisindikizwa na gari la polisi alilokuja nalo"



​
 
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kwani wale POLISI mkutanoni walikuja na UNGO? Mbona mnalazimisha Mbowe atoe ushahidi wake kwa watu ambao wanatuhumika? Kwanini Mh. Rais asikubali kuunda TUME HURU ya KIMAHAKAMA kama hawana wasiwasi kuwa chombo cha dola kilihusika? Na kwanini Usalama wa Taifa unategemea ushahidi wa Mh. Mbowe tu?
 
Back
Top Bottom