Mengi yameanza kujulikana baada ya shuhuda aliyemuona mtu aliyerusha bomu kusimulia, akishuhudia chini ya kiapo mbele ya wakili anasema:
Leo ndiyo stori yao kuu ukurasa wa mbele. Inamnukuu mwanaChadema mmoja akisema katika statement yake chini ya kiapo mbele ya wakili Mabere Marando kwamba alimuona mtupaji bomu akiteremka kutoka gari la polisi akatupa bomu na baadaye kuchukuliwa na gari nyingine ya kiraia iliyokuwa inafuata nyuma.
Mwanachadema huyo aliyekuwapo mkutanono kama mlinzi mmojawapo wa mkutano, na watu wengine wqalijaribu kumkimbiza mtupaji bomu huyo lakini akashitukia anapigwa risasi mguuni.
Chagponja na wenzako – msibweteke , chukueni upenyo huo kumtafuta mhalifu miongoni mwenu – acha kungojea ushahidi wa chee kutoka kwa Mbowe. C'mon show your professionalism!
MKUU Kuficha UPUMBAVU kazi ngumu sana ndiyo kinachomshinda PINDA.wani kila kitu kinacho andikwa lazima uchangie? kama vipi soma achana nayo kama hays kuhusu! m2 unaanza kutetea au kupinga hujui ikiwa hujui chochote, hebu tujifunze kuficha upumbavu wetu!
Du aisee hii ni hatareee.
Mada zako zimekaa kitumwa sana.mbona usemi ccm wapeleke ushahidi kama chadema wameshindwa,si walisema chadema wamejilipua wenyewe.
mkuu sikupenda ulipukaji wa bomu arusha ila umenichekesha kwenye blue!Japokuwa Polisi wameruhusiwa kuua na Waziri mkuu, lakini bado wanaweza kuhojiwa kwanini waliua kabla pinda hajawaruhusu?
alielalamika ni chdm. ccm wakapuuza kwa kusema dalili ni kwamba wamejilipua wenyewe. kama chdm hawalalamiki na hawako tayari kutoa mkanda, basi yaishe. tuendelee na ujenzi wa taifa. amka usingizini dogo!
kwani video ya CDM imeenda wapi hadi tuanze kuuliza watu mbele ya mawakili? tusubiri video bana acheni hizi porojo bana! maana kama video ime record tukio zima huyo mtu na gari zake zote mbili zitaonekana! waikabidhi kwa wanaharakati au hata kwa Obama akija ili mradi tujue mbichi na mbivu! Mbowe kaapa ipo hatuna sababu ya ku doubt kauli yake. we are waiting!
we mpumbavu kama mkuu wako tu! kwanza leteni wale waliolipua kanisani! wapumbavu ninyi!
kwani kwenye mkutano wa siasa magari ya polisi huwa hayaruhusiwi? hakuna uwezekano kuwa ni kweli hilo gari lipo arusha lkn zimetajwa namba zake ili kuhalalisha ushahidi wa uongo? kwa nini mbowe anaedai ana mkanda wa tukio Zima asiutoe? upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
we mpumbavu kama mkuu wako tu! kwanza leteni wale waliolipua kanisani! wapumbavu ninyi!
punguzi munkari dogo. hujui kuwa victor ambrose yuko rumande na kesi yake inaendelea? au unataka hukumu ipite haraka kabla ya kesi kuendelea kusikilizwa huku watu wengine wakisakwa? ww si unaunga mkono ufutaji wa hukumu ya kifo? kwa hali hii mauaji yatafanyika kiholela