Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

Labda ndo maana Absolom Kibanda aliandikaga "NAMUOGOPA KINANA" Wakati akiwa bado ni mwandishi wa Tanzania Daima, maana toka Kinana awe Katibu mkuu wa CCM siasa za nchi hii zimekuwa ni za kuana, kung'oana kucha na meno, kulipuana nakadhalika.. hadi Tembo wanalia..
 
SASA NAAMINI YULE MAMA ALOFARIKI KATIBU WA KATA YA SOKON ALIPIGWA RISASI NA WALA C BOMU,
KUKATISHA UHAI WA MTU AS IF WEWE HUTAKUFA? LOL TUMUOGOPE PIA TUMUAMINI MUNGU JAMANi
Pesa ni noma kaka...watu wanaitafuta halmashauri ya Jiji la Arusha kwa damu!
 
Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..

NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.

Kwani ni lazima gari hilo liwe limetoka mkoani Arusha? Mbona inaaminika kuwa wahusika waliobeba bomu walitokea nje ya Arusha? Polisi wetu huwa wanaangalia mbele ya kioo tu lakini hawaangalii nyuma ya kioo. Hata aliyemuua Mwangosi unafikiri alitokea Iringa? Intelijinsia ya polisi huwa ina matundu sana, wenyewe wanaamini ukifanya hivyo basi waweza kuficha ushahidi......Si kwa dunia ya leo.
 
huu ushaidi mpelekeeni TENDWA hili tujue ata kifuta CCM au na yeye ana tumika kama karai la kubeba zegee,zege ikiisha unalitupa kule
 
Watakana sasa hivi kuwa hawana gari lenye namba kama hizo, ngoja litatafutwa tu kwenye ile Video .....MUNGU akiwa upande wetu ni nani anayeweza kuwa juu yetu? Hakika hakuna


Hata mimi nilikuwa na mawazo hayo. Hata kama hawatakana kuwa na gari yenye namba hizo, bado wanaweza kusema liliibwa kama yule aliyesafirisha bangi kwenda Kenya. Bosi wake alisema dereva aliiba gari. Anything is possible. Zile sh. 100,000,000 apewe basi huyu jamaa. Hata kama siyo zote basi angalau hata nusu kwa kuwa ametoa clue.
 
Mkuu Elli, Mkoa wa Arusha hauna gari namba PT 1179. Si kila ulisomalo lina ukweli ndani yake..

NB: SIUNGI MKONO VITENDO VYOVYOTE VYA KINYAMA VILIVYOFANYIKA MKOANI HUKO NA PENGINE NCHINI.

Hapa unataka kutuambia nini una namba za magari ya polisi yaliyoko Ars?Basi twambie lilikua namba ipi?
 
Mentor, huo ndiyo uhalifu uliopangwa. Inawezekana wakatumia namba za bandia ambazo hazipo kwenye registry yao ili kama ikionekana na kutolewa ushahidi (kama hivi sasa) then watajitetea hatuna namba hiyo kabisa hapa Tz. Mbona hizi mbinu hata vibaka tu wanatumia? Hiyo ni baadhi ya mbinu ndogo za kuvuruga ushahidi, lakini tunasikia vielelezo vipo vingi vya kufichua njama hii ya kiharamia.
hii inanichanganya.....
yaani polisi wapange uhalifu halafu waamue kutumia namba feki ya polisi?
feki au halali bado itakuwa ya polisi, kwa hiyo kuhusishwa na tukio ni lazima. kwa nini waamue kujihusisha kupitia mlango wa nyuma?
kwa nini wasitumie namba feki ya kiraia?
 
Polisi wa Tanzania ni zaidi ya uwajuavyo, ngoja tusubiri tuone
 
Ni kawaida CCM kukana kupitia vyombo vya dola hata kama vitu vipo wazi!!!
 
Uzii huu wamekimbia kabisa wanasubiri maelekezo ya kuja kujibu hapa hoja hii
 
apewe haya nyekundu kadhaaa tu zitamtosha bhana
Hata mimi nilikuwa na mawazo hayo. Hata kama hawatakana kuwa na gari yenye namba hizo, bado wanaweza kusema liliibwa kama yule aliyesafirisha bangi kwenda Kenya. Bosi wake alisema dereva aliiba gari. Anything is possible. Zile sh. 100,000,000 apewe basi huyu jamaa. Hata kama siyo zote basi angalau hata nusu kwa kuwa ametoa clue.
 
Jielekeze kwenye ujumbe mahususi "Nilikuwa nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya saa 12 kasorobo jioni siku ya tarehe 15 Juni 2013 nilimwona mtu aliyevaa helmeti ya polisi akishuka kwenye gari namba PT. 1179 na kurusha kitu kilicholipuka baadaye kukimbia na kuingia gari la kiraia lililokuwa mbele ya gari la polisi alilokuja nalo baadaye gari hilo kuondoka likisindikizwa na gari la polisi alilokuja nalo"siyo kuleta blabla hapa.Tunajua magari ya polisi yalikuwa mengi hapo siku hiyo,ila lilotajwa ndiyo linafungamanishwa na tukio husika.
 
Back
Top Bottom