Bomoabomoa itakavyoyumbisha taasisi za kifedha

Bomoabomoa itakavyoyumbisha taasisi za kifedha

Strong people discuss issues, weak people discuss people and events! Kwenye communication skills huwa tunasema " avoid personal attack" mfano Mtu akikwambia kuna baadhi ya wachungaji ni mashoga, Wewe waweza mwambia mbona pia kuna baadhi ya mashekhe wafuga majini Au wachawi? Na ukamwambia afadhali ya padri shoga hasara ni Yake mwenyewe lakini huyu Shekhe Mwenye majini/mchawi ni mbaya zaidi maana ni mharibifu wa maisha ya Watu n.k lakini kukimbilia kumwambia Mtu sijui unazeekaje hivi na hivi naona hapo inakuwa " personal attack" tupendane
Binafsi naamini Mungu aliyeumba wanadamu ni
Mmoja tu, isipokuwa njia Au namna ya kumtambua ndo inakuwa tofauti! Ni mfano mnyama Simba , wazungu wanamwita Lion sisi tunamwita Simba lakini mwisho wa Siku ukimwona mnyama mwenyewe ni yuleyule isipokuwa namna ya kumtambua Kwa majina ndo tofauti! Wengine wanamuita Allah wengine wanamuita Jehovah! Samahani Kwa niliye mkwaza Kwa kuyanena hayo! [emoji1311][emoji1316]
 
Tatizo nchi hii ardhi ni mali ya serikali. Unaweza ukawa kwenye ardhi yako halali kabisa, wakubwa kwa interests zao wakaja na aqenda zao tena wanakuja na master plan unaambiwa uko kwenye barabara. Dhuluma tupu. Najuta kuzaliwa Tanzania
 
Ila what goes around comes around. Magufuli na Bashite wajue siku yao inakuja
 
Ghadafi alitamba sana leo yuko wapi? Sadam Hussein yuko wapi?
 
Strong people discuss issues, weak people discuss people and events! Kwenye communication skills huwa tunasema " avoid personal attack" mfano Mtu akikwambia kuna baadhi ya wachungaji ni mashoga, Wewe waweza mwambia mbona pia kuna baadhi ya mashekhe wafuga majini Au wachawi? Na ukamwambia afadhali ya padri shoga hasara ni Yake mwenyewe lakini huyu Shekhe Mwenye majini/mchawi ni mbaya zaidi maana ni mharibifu wa maisha ya Watu n.k lakini kukimbilia kumwambia Mtu sijui unazeekaje hivi na hivi naona hapo inakuwa " personal attack" tupendane
Binafsi naamini Mungu aliyeumba wanadamu ni
Mmoja tu, isipokuwa njia Au namna ya kumtambua ndo inakuwa tofauti! Ni mfano mnyama Simba , wazungu wanamwita Lion sisi tunamwita Simba lakini mwisho wa Siku ukimwona mnyama mwenyewe ni yuleyule isipokuwa namna ya kumtambua Kwa majina ndo tofauti! Wengine wanamuita Allah wengine wanamuita Jehovah! Samahani Kwa niliye mkwaza Kwa kuyanena hayo! [emoji1311][emoji1316]
Tafsida nmetoka kapa,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli mkuu ukumbi wa harusi kama kilato pale kimara ni uwekezaji mkubwa sana... kitendo cha kuubomoa kama ana loan bank anaweza asilipe na usimfanye chochote maana dhamana imevunjwa... au mama kapinga pale
Hilo litakuwa ni tatizo la benki kwa kutoangalia impending risk kitaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukiangali kwa undani ni kama dhuluma fulani hivi. Hawa watu wanaoambiwa hawakuwa pale kihalali, ni wao walikuwa wanalipa kodi, wanakata leseni za biashara na kulipa tozo mbali mbali za kibiashara na wengine Kampuni zao zimesajiliwa Brela kwa kutumia eneo hilo hilo ambalo leo wanaambiwa hawako kihalali. Ina maana serikali ilikuwa inajishughulisha na wafanyabiashara haramu?
Seri Kali Kama sigara kali ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ninaloliona si la muda mfupi ni la muda mrefu

Watu wanatumia hati za viwanja au nyumba kuomba mikopo.
Iiktokea lenders wakaingia hasara kutokana na bomoa mbele ya safari wataweka masharti magumu

Title deed itakuwa imepoteza 'kuaminika'.
Lenders wanaweza kumtaka mwombaji awe na dhamana zaidi jambo litakaloweka ugumu ku access mikopo.
 
Jana nilipokuwa naangalia kwenye mitandao ya kijamii niliona picha mbali mbali za bomoabomoa ya nyumba inayoendelea Dar es salaam. Pamoja na huzuni, hasira, navilio vilivyokuwa vimetawala zoezi hilo, mimi kwa mtizamo wangu nimeona kwamba zoezi lenyewe litaziathiri sana taasisi za kifedha na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Kati ya nyumba zilizobomolewa miongoni mwake kuna nyumba ambazo ziliwekwa dhamana kwa mikopo pia kuna nyumba ambazo zilitumika kama ni anwani za wakopaji. Na kwenye maeneo hayo pia kuna nyumba zilizokuwa zinatumika kama nyumba za biashara zilizotathiminiwa kupata kigezo cha kukopeshwa.

Nyumba za aina hiyo zinapobomolewa zinaleta sintofahamu kubwa sana kwa taasisi za kifedha. Kwa mfano nyumba iliyowekwa dhamana na mkopaji imebomolewa na nyumba iliyotumika kama anwani ya mkopaji nayo imebolewa, na eneo ilikokuwa inafanyika biashara iliyokopeshwa nayo imebomolewa. Hapa taasisi ya kifedha iliyokopesha inawezaje kulipwa?

Halafu eneo lote linalobomolewa, serikali imewahi kujua ni biashara ya thamani kiasi gani ilikuwa inafanyika kwenye eneo hilo? Leo wote waliokuwa wanawazuia bidhaa wafanyabiashra wa eneo hilo wamepoteza wateja na waliokuwa wateja nao wamepoteza mitaji. Ni kwa kiasi gani biashara iliyopootezwa kwenye eneo hilo italeta athari kwenye uchumi wa Dar es salaam na Taifa kwa ujumla?

Wafanyakazi wa serikali ambao watakuwa wanashughulika na matokeo ya ubomoaji huo,ni kwa kiasi gani watashusha ufanisi wao kazini na pia wanawezaje kuhimili makato ya mikopo yao waliyokopa ili kuendeshea shughuli za kujiongezea kipato kwenye maeneo nyumba zilikobomolewa?
This is a mere in ocean. Not a significant variable. Correlation coefficient is close to zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayaji bila bomoa bomoa. Si nyumba tu, hata misingi ya utu inabidi ibomolewe. Hujaona watu wa jinsia moja wanaoana, tena cha ajabu wengine ni wachungaji wa kondoo wanaoana na kondoo zao.

Misingi ya utu inabomolewa na kanisa linabariki kwa kuwa wameendelea itakuwa serikali kubomoa nyumba kupisha highways? Fikiri.
Swali ni kwamba sarikali ilokuwa wapi wakati wananchi wamajenga hizo nyumba? Kwanini serikali ilikuwa ikichukua kodi ktk maeneo hayo? Wakati mwingine muwe na hekima. Machozi ya wahanga wale hayataenda bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu eneo lote linalobomolewa, serikali imewahi kujua ni biashara ya thamani kiasi gani ilikuwa inafanyika kwenye eneo hilo? Leo wote waliokuwa wanawazuia bidhaa wafanyabiashra wa eneo hilo wamepoteza wateja na waliokuwa wateja nao wamepoteza mitaji. Ni kwa kiasi gani biashara iliyopootezwa kwenye eneo hilo italeta athari kwenye uchumi wa Dar es salaam na Taifa kwa ujumla?

Mkuu;
Unaambiwa kuwa, hao wote walikuwa wakwepa kodi maarufu hivyo serekali haina hasara. Pole sana kwa wafikwa na vyombo vilivyo fikwa
 
Swali ni kwamba sarikali ilokuwa wapi wakati wananchi wamajenga hizo nyumba? Kwanini serikali ilikuwa ikichukua kodi ktk maeneo hayo? Wakati mwingine muwe na hekima. Machozi ya wahanga wale hayataenda bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo kodi ndiyo zinaleta maendeleo.

Maendeleo ya nchi hayazuiliwi na majengo.

Ni wakati muafaka mkalielewa hilo.

Barabara isijengwe kwa sababu kuna watu hawataki nyumba zao zibomolewe?
 
Back
Top Bottom