Bomoabomoa itakavyoyumbisha taasisi za kifedha

Wewe unaunga mkono misingi ya utu inapomolewa. Yaani upo tayari mtoto wako wa kiume kuolewa na mwanaume mwenzake?
Mimi siungi mkono na nnnalipinga hilo na ushahidi nnao humu humu JF. Wewe lini ulipinga hayo?
 
Kama wewe unapinga hilo na wengine wanapinga ubomoaji wa nyumba za raia wasio na hatia bila ya kufuata kanuni za kiutu ambazo ni kutathimini mali zilizopo, na kulipa fidia, kutumia ubinadamu kwenye ubomoaji!
 
Jana nilipokuwa naangalia kwenye mitandao ya kijamii niliona picha mbali mbali za bomoabomoa ya nyumba inayoendelea Dar es salaam. Pamoja na huzuni, hasira, navilio vilivyokuwa vimetawala zoezi hilo, mimi kwa mtizamo wangu nimeona kwamba zoezi lenyewe litaziathiri sana taasisi za kifedha na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Kati ya nyumba zilizobomolewa miongoni mwake kuna nyumba ambazo ziliwekwa dhamana kwa mikopo pia kuna nyumba ambazo zilitumika kama ni anwani za wakopaji. Na kwenye maeneo hayo pia kuna nyumba zilizokuwa zinatumika kama nyumba za biashara zilizotathiminiwa kupata kigezo cha kukopeshwa.

Nyumba za aina hiyo zinapobomolewa zinaleta sintofahamu kubwa sana kwa taasisi za kifedha. Kwa mfano nyumba iliyowekwa dhamana na mkopaji imebomolewa na nyumba iliyotumika kama anwani ya mkopaji nayo imebolewa, na eneo ilikokuwa inafanyika biashara iliyokopeshwa nayo imebomolewa. Hapa taasisi ya kifedha iliyokopesha inawezaje kulipwa?

Halafu eneo lote linalobomolewa, serikali imewahi kujua ni biashara ya thamani kiasi gani ilikuwa inafanyika kwenye eneo hilo? Leo wote waliokuwa wanawazuia bidhaa wafanyabiashra wa eneo hilo wamepoteza wateja na waliokuwa wateja nao wamepoteza mitaji. Ni kwa kiasi gani biashara iliyopootezwa kwenye eneo hilo italeta athari kwenye uchumi wa Dar es salaam na Taifa kwa ujumla?

Wafanyakazi wa serikali ambao watakuwa wanashughulika na matokeo ya ubomoaji huo,ni kwa kiasi gani watashusha ufanisi wao kazini na pia wanawezaje kuhimili makato ya mikopo yao waliyokopa ili kuendeshea shughuli za kujiongezea kipato kwenye maeneo nyumba zilikobomolewa?
Mkuu tena hizo nyumba zingeingizia serikali hela nyingi kupitia kodi ya maendeleo.
 
Maendeleo hayaji bila bomoa bomoa. Si nyumba tu, hata misingi ya utu inabidi ibomolewe. Hujaona watu wa jinsia moja wanaoana, tena cha ajabu wengine ni wachungaji wa kondoo wanaoana na kondoo zao.

Misingi ya utu inabomolewa na kanisa linabariki kwa kuwa wameendelea itakuwa serikali kubomoa nyumba kupisha highways? Fikiri.
Haijakugusa hii ndo maana unaongea kama unajisaidia.... Ingekuwa wazazi wako au mwana familia yoyote imemgusa usingeongea upumbavu wako....

send via satellite-Vietnam
 
Mkuu tena hizo nyumba zingeingizia serikali hela nyingi kupitia kodi ya maendeleo.
Nadhani ulidhamiria kusema kodi za majengo. Ni kweli kodi za majengo zililipwa na hawa leo wanaoitwa wavamizi wa hifadhi ya barabara. Kwa maana nyingine Serikali ilitoza kodi kwa watu waliokuwa wamejenga maeneo yasiyo halali!
 
Jana nilipokuwa naangalia kwenye mitandao ya kijamii niliona picha mbali mbali za bomoabomoa ya nyumba inayoendelea Dar es salaam. Pamoja na huzuni, hasira, navilio vilivyokuwa vimetawala zoezi hilo, mimi kwa mtizamo wangu nimeona kwamba zoezi lenyewe litaziathiri sana taasisi za kifedha na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Kati ya nyumba zilizobomolewa miongoni mwake kuna nyumba ambazo ziliwekwa dhamana kwa mikopo pia kuna nyumba ambazo zilitumika kama ni anwani za wakopaji. Na kwenye maeneo hayo pia kuna nyumba zilizokuwa zinatumika kama nyumba za biashara zilizotathiminiwa kupata kigezo cha kukopeshwa.

Nyumba za aina hiyo zinapobomolewa zinaleta sintofahamu kubwa sana kwa taasisi za kifedha. Kwa mfano nyumba iliyowekwa dhamana na mkopaji imebomolewa na nyumba iliyotumika kama anwani ya mkopaji nayo imebolewa, na eneo ilikokuwa inafanyika biashara iliyokopeshwa nayo imebomolewa. Hapa taasisi ya kifedha iliyokopesha inawezaje kulipwa?

Halafu eneo lote linalobomolewa, serikali imewahi kujua ni biashara ya thamani kiasi gani ilikuwa inafanyika kwenye eneo hilo? Leo wote waliokuwa wanawazuia bidhaa wafanyabiashra wa eneo hilo wamepoteza wateja na waliokuwa wateja nao wamepoteza mitaji. Ni kwa kiasi gani biashara iliyopootezwa kwenye eneo hilo italeta athari kwenye uchumi wa Dar es salaam na Taifa kwa ujumla?

Wafanyakazi wa serikali ambao watakuwa wanashughulika na matokeo ya ubomoaji huo,ni kwa kiasi gani watashusha ufanisi wao kazini na pia wanawezaje kuhimili makato ya mikopo yao waliyokopa ili kuendeshea shughuli za kujiongezea kipato kwenye maeneo nyumba zilikobomolewa?
Mwambieni Lowassa awalipie Basi
 
Wananchi waonewe huruma angalia picha hii Kibera Nairobi Reli inapita katikati ya nyumba na maisha yanaondelea kama kawaida.
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    27.9 KB · Views: 42
  • image.jpeg
    image.jpeg
    47.5 KB · Views: 37
Hata muombe vipi haitatokea akili na moyo wake kuja kukaa sawa. mungu anatenda ila watanzania ndiyo mtaumia sababu ya maujinga yenu, je, ni kweli kilicho muondoa dogo ni fansidar au aliamua kujikatidha uhai sababu ya tabia na matendo ya baba. ili nguvu za mungu wote mzishuhudie huwa anatabia ya kukuinua hadi juu sana halafu anakushusha katika namna itakayotoa somo kwa wengineo
 
Dogo yupi haloo, hebu fafanua kuhusu hizo fansidar
 
Halafu ukiangali kwa undani ni kama dhuluma fulani hivi. Hawa watu wanaoambiwa hawakuwa pale kihalali, ni wao walikuwa wanalipa kodi, wanakata leseni za biashara na kulipa tozo mbali mbali za kibiashara na wengine Kampuni zao zimesajiliwa Brela kwa kutumia eneo hilo hilo ambalo leo wanaambiwa hawako kihalali. Ina maana serikali ilikuwa inajishughulisha na wafanyabiashara haramu?

Kilichoangaliwa kwa ukaribu zaidi ni watu wa chama gani na wengi wanatokea UKANDA gani mengine yote ni hadithi tu
 
Uzuri wasimamizi wakuu wa huo ubomoaji huwa hawaishi kwenye nyumba zao binafsi!

Mameneja na Mainjinia mishahara ayo na marupurupu yao ni tosha kuwa na nyumba za kifahari Masaki au Mbezi beach siyo kwa akina Kapuku Kimara au Ubungo
 
Maendeleo yana machungu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni hoja dhaifu sana inayotolewa na mashabiki wa hii bomoabomoa. Kwani maendeleo ni kuleta umaskini kwa wananchi wako? Yaani mtu atakayeshindwa kujenga nyumba yake baada ya kubomolea unawezaje kumwambia kwamba hiyo barabara itakayojengwa kwamba ni maendeleo?
 
Back
Top Bottom