TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,035
We bila shaka unaishi nyumba za msajili wa majumbaHizo kodi ndiyo zinaleta maendeleo.
Maendeleo ya nchi hayazuiliwi na majengo.
Ni wakati muafaka mkalielewa hilo.
Barabara isijengwe kwa sababu kuna watu hawataki nyumba zao zibomolewe?
Sent using Jamii Forums mobile app