Hili bomba wawekezaji ni TOTAL nao wanaangalia zaidi gharama za uendeshaji na uhakika wa returns kwa investment yao. Ukiangali route ya bomba, kuna masuala ya usalama upande wa South Sudana na Somalia hivyo risk ni kubwa ya hujuma. Na hii ndio sababu kubwa ya ucheleweshaji wa huu mradi pamoja na kuamua zaidi ya miaka 3 huko nyuma.