Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Hili bomba wawekezaji ni TOTAL nao wanaangalia zaidi gharama za uendeshaji na uhakika wa returns kwa investment yao. Ukiangali route ya bomba, kuna masuala ya usalama upande wa South Sudana na Somalia hivyo risk ni kubwa ya hujuma. Na hii ndio sababu kubwa ya ucheleweshaji wa huu mradi pamoja na kuamua zaidi ya miaka 3 huko nyuma.
 
Ukiweka other factors constant, na uzalendo aside, kwa mawazo yangu haileti economic sense kujenga bomba la mafuta kupitia Tanga as opposed kupitia Kenya. Ni kama wanyarwanda walivyotaka kupitishia mizigo yao Mombasa badala ya Dar es Salaam. Sijui kama bomba litapitia chini ya Lake Victoria au litazunguka, ila kwa kila hali itakuwa la gharama zaidi kuliko kupitia Kenya. Issue ya fidia ni one time cost na haiwezi kuwa kigezo cha kufanya uamuzi. Gharama za uendeshaji in the long run ndo kigezo muhimu.

Nafikiri sababu kubwa ya waganda kutaka kupitishia bomba kwetu ni usalama tu. Wakenya hawaaminiki kwani katika ule mgogoro wa kile kisiwa wakenya walingo'a reli ya kwenda Uganda. Hicho waganda hawasahau leo mpaka kesho. Sasa fikiri ni bomba la mafuta linapita, si wangelichoma moto? Wakenya wakifanikiwa kuwapa assurance waganda kuhusu usalama, we might as well kiss this project goodbye.
Nimependa kumbukumbu hiyo
Na kama jamaa waganda watalikumbuka hilo
Itakuwa safi kwa Tanzania japo hatupaswi kubweteka
Hii ni vita
 
Haya ndio mawazo yanayo takiwa kwasasa
Sio kukalia siasa zakipumbavu
Wakati fursa ndio hii tunaizembea

Na tukiipoteza tunaendeleza chuki na wakati wenzetu wanachojali ni pesa na si ujirani mwema....we have to dance this song in the same manner

Mpende akupendae tu na pia zama za nyerere kuhimiza umoja wa Africa zimeshaisha hivyo tunabidi kuwa opportunist pia...hakuna capitalist anaeweka ujirani na urafiki mbele ya pesa... TANZANIA KWANZA
 
Usikute Waganda wanatutumia kama njia ya ku-negotiate na Kenya.
Babu hiyo ndio point yenyewe, sababu Mseveni anazunguka zunguka na briefcase yenye madocument ya huo mradi wa bomba mara Kenya, mara Tanzania, akitoka Tanzania anaenda Kenya tena, pengine kesho mtasikia yupo Jibuti. Sababu hiyo mtaji wake wa kuburgain kwa sasa akiachia huo hana deal nyingine tena huko mbele.
 
Pia sio suala la kubweteka
Kinacho fanyika sasa sio udugu wala ujirani
Ni kuangalia faida utakayo pata

Niwakati sasa wa Tanzania kuamka, tuingie ktk mapambano mradi huu upite TANZANIA

UNAYOSEMA NI KWELI...ILA NAULIZA SWALI LA KIZUSHI TUU.

JE TANZANIA INAO HAO LOBBYISTS WA KUIFANYA KAZI HIYO?...TOKEA ENZI ZA NYERERE TULIKAA KINDEZI MPAKA KENYA INAUZA MLIMA KILIMANJARO NA SERENGETI SIE TUMEKAA TUU KAMA MIJINGA FULANI.

IFIKE PAHALA KAMA HATUNA WATU HAO...TUTAFUTE WATAALAM TOKA NJE WAJE WATUSAIDIE KULOBBY HIYO KAZI AGAINST WAKENYA NA KWA MALIPO YA SERIKALI MRADI UJE KWETU...NA TUSIISHIE HAPO TUU TUWALETE WATAALAMU WAUZE VIVUTIO VYA WATALII TULIVYOJAALIWA NA MUUMBA ZAIDI YA VIVUTIO 1000 VIKO NCHINI MWETU ILA HAVIJAWAHI KUTANGAZWA DUNIANI.

MUSEVENI ANAIPENDA TANZANIA, NA ANAJUA FIKA KUWA RAFIKI WA KWELI NI TANZANIA...NA NAAMINI HAKUPENDA SANA KUINGIA KWENYE ILE COALISION OF THE WILLING (CoW) YA KAGAME NA KENYATA KUIKOMOA TANZANIA ILA ALIKUWA HANA JINSI SABABU RELI ITAPITIA NYUMBANI KWAKE...BUT DEEP DOWN MUSEVEN IS MUCH A TANZANIAN THAN A KENYAN....NA TUSIPATE TABU SANA...MKULU AMTUME LIPUMBA AENDE KWA CLASSMATE/COLLEGE MATE WAKE MUSEVENI WAKAPIGE STORY ZA ZAMANI WAKIWA CHUO KISHA AMUOMBE ASOGEZE HILO DEAL NYUMBANI KWAO KWA ZAMANI.

PIA TUSISAHAU ISSUE YA MIGINGO ISLAND...HII INAWEZA KUWANYIMA KENYA HIYO DEAL KAMA NJIA MOJA WAPO YA MUSEVEN KUWAONYESHA KENYA HE IS SMART AND CAN PULL STRINGS UNDER THEIR BALLS...YOU GIVE MUSEVEN MIGINGO OR YOU LOOSE A DEAL WORTH BILLION DOLLARS.

WE CANT WAIT A MEAL SERVED TO US IN A SILVER PLATE....WE BETTER HURRY IN A KITCHEN AND SERVE OURSELVES IN A PLASTIC PLATE. THE MORE WE DELAYS THE EASIER WE MISS EVERYTHING.
 
Kama tukitaka huu mradi uende kenya tuendelee na idea zetu kuwa its up to uganda and mseven to decide, ndugu zangu mambo hayaendi hivyo, ukisikia harufu ya pesa/mradi mzuri kama huu ufuate kule uliko, itakuwa kosa kubwa sana kwa TPDC, Muhongo na Magufuli just to relax na kusubiri Mseven will decide in favor of Tanzania, this will not happen na tunakwenda kupoteza kweupe. What i know kenya is doing everything to secure this deal, mie nawaambia, tunatakiwa tuanze kufuatilia haraka iwezekanavyo, tusikae hapa tunadanganyana kuwa kenya na tz sijui ni ndugu hili swala halipo, kenya na tz ndg wa wapi? WESE lipite tz kwanza ndo tuangalie mambo mengine ya sijui ndugu sijui EAC, wht we need to know now is that we are in competition . Peleka team Uganda ya TPDC ikae kule ikifanya underground negotiation kabla ya mseven na kenyatta hawajakutana tena, guys u cannot trust mseven or kenyatta even one single second, we need to show that we are committed in this project .
 
Huu mradi ni wakupigania kufa na kupona, waziri wa uganda anasema bomba hili litatumia us$2.7b likijengwa kuelekea lamu, na likielekea mombasa litatumia us$ 4b, kwatanzania litagharimu us$5.7b hivyo anasema ni route ya Tanga haifai, lakini rais wa Total anasema watatumia pesa zao wenyewe kujenga.

Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250000, kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.
Dah mkuu kama ishu inalipa hivi kwa long run inabidi serikali iangalie hata namna ya kuchangia gharama za ujenzi.
Kama faida kwa mwaka ni zaidi ya Trillioni 2 kama makusanyo ya ushuru kwa kupitisha bomba kwa nini Magufuli asijipige pige atafute hata Trillioni 3 azi-damp kwenye project ili kuhakikisha mradi unapita kwetu??

Huu mradi si wa kuuacha utupite aiseeee
 
Dah mkuu kama ishu inalipa hivi kwa long run inabidi serikali iangalie hata namna ya kuchangia gharama za ujenzi.
Kama faida kwa mwaka ni zaidi ya Trillioni 2 kama makusanyo ya ushuru kwa kupitisha bomba kwa nini Magufuli asijipige pige atafute hata Trillioni 3 azi-damp kwenye project ili kuhakikisha mradi unapita kwetu??

Huu mradi si wa kuuacha utupite aiseeee
Huu sio mradi wakuchezea
 
nimeamini bila kuwa na intelegensia biashara hii vita ya kibiashara itakuwa ngumu kwetu..la sivyo lngekuwepo ilikuwa kabla ishafanyika sabotege kuwatia hofu hizo kampuni na Uganda...
 
Huu sio mradi wakuchezea
Ni kweli kabisa mkuu.
Mradi unaoingizia taifa zaidi ya Trillioni 2 kwa mwaka sio kitu cha kitoto achilia mbali kupunguza gharama za uagizaji mafuta toka Uarabuni kwa meli mpaka hapa nchini maana tutaunga tu kipande cha bomba toka Tanga mpaka Tipper pale kiwandani DSM na kwa kuwa bomba linapta kwetu no ushuru.

Maana naye ni kwamba mafuta kwetu yatashuka sana na huku bado tunaingiza chetu Tshs 2 Triilions per year.

Magufuli lazima awe smart sana, zile zama za kulia lia na kuendekeza undugu mpaka kweny biashara alikufa nazo Nyerere.

Ikiwezekana hata tujipige tutoe tax holiday hata kwa mwaka mmoja tu ili kumvutia Museveni, baadaye tuanaanza kukusanya kodi yetu.
 
Kama faida kwa mwaka ni zaidi ya Trillioni 2 kama makusanyo ya ushuru kwa kupitisha bomba kwa nini Magufuli asijipige pige atafute hata Trillioni 3 azi-damp kwenye project ili kuhakikisha mradi unapita kwetu??

Huu mradi kuna raisi anatafuta apewe rushwa kubwa kuachia huo mradi uje Tanzania.Anayetaka rushwa Ni museveni au Kenyatta au wote wawili? sijui.Lakini nimeanza kusikia harufu ya rushwa kubwa.
 
bomba hili linaifaidishaje tanzania? wasije wakatuletea milipuko kwa huhuma, wakenya wana usongo sana na tz
 
Huu mradi kuna raisi anatafuta apewe rushwa kubwa kuachia huo mradi uje Tanzania.Anayetaka rushwa Ni museveni au Kenyatta au wote wawili? sijui.Lakini nimeanza kusikia harufu ya rushwa kubwa.
Dunia nzima Rushwa kubwa huwa zinatolewa kwenye miradi kama hii.

Ndio maana wazungu wanachimbaga dhahabu ya mabilioni halafu wanawajengea kashule ka millioni 800 na visima vya maji vya millioni 400.

Kuna haja ya sie kujisachi aiseee, hii kitu ni kubwa mno kwa uchumi wetu. 2 Trillions per year?? Bado tunazubaa??
 
bomba hili linaifaidishaje tanzania? wasije wakatuletea milipuko kwa huhuma, wakenya wana usongo sana na tz


Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250,000 kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.
 
Kenya wajipange sana maana tuna watu makini kupita maelezo hapa mahiga pale jpm wataisoma namba wao wanaendelea kuhangaika mitandaoni cc tunajenga bomba
Kenya maneno mengi sana propaganda nyingi sanaa , na wakiwin hili bomba watajiona vidume sana na kejeli kibao hawa wadudu
 
Ada ya kupitisha mafuta katika bomba hili ni us$14 kwa pipa na kwa siku watapitisha pipa 250,000 kwa haraka Tanzania itavuna US$ 1b kwa mwaka sawa na 25% ya exports ya nchi nzima kwa mwaka, kumbuka malipo haya yanafanyika kwa pesa ya kigeni.
Ndio maana wakenya roho zinawatoka
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom