Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

UGANDA WAMEONA VITU HIVI TANZANIA;

1. UNAFUU, Uganda wanaona Tanga tayari kuna bandari, kwa hiyo hakuna gharama za ujenzi wa bandari.

2. MUDA, kitendo cha Tanga kuwa na bandari tayari imeshapunguza muda wa umalizikaji wa mradi, makadirio mradi utaanza biashara mpaka 2018. Uganda wanaona Kenya hakuna bandari kwa hiyo mradi utachukua muda mrefu kumalizika.

3. UZOEFU WA BANDARI, bandari ya Tanga ni kongwe kwa wateja tayari wameshaizoea, hata maofisa wa bandari ya Tanga wanauzoefu wa kutosha. Lamu, Kenya hakuna bandari watakapojenga itachukua muda mrefu wateja kuizoea.

4. USALAMA, hapo utakubaliana nami kwamba hali ya usalama Kenya ni shwari, lakini mashambulizi ya kujitoa mhanga/kushtukiza yanayoendelea Kenya zidi ya Al-Shabaab yanaitia wasi wasi Uganda. Ikumbukwe mradi unagharimu pesa nyingi sana.

5. UHUSIANO MZURI WA KIDIPLOMASIA UGANDA-TANZANIA(vita ya Kagera), hapa pia utakubaliana nami MUSEVENI analipa fadhira kwa Tanzania.

NYONGEZA;
Serikali ya sasa ya Tanzania ipo makini chini ya uongozi wake MAGUFULI. Hapo suala la ufisadi halina nafasi katika mradi huu.
 
Kenya wanawalaghai tu.Uanze kujenga leo bandari hadi ikamilike ikubalike kibiashara na meli zije ni leo?
Tanzania hakuna kubembeleza kama waganda hawataki wanataka kutushinikiza kupitia wakenya kuwa turudi kubembeleza kwa kushika gharama zingine kama hao matapeli wakenya wanavyosema tusikubali.

Hapa mganda anataka kujifanya kama mwanamke kahaba kujiuza huku na kule.Raisi wao kasema tulidhani anaaminika Museveni hivyo hatutegemei sarakasi.Kama wanataka lijengwe sawa hawataki hawa waganda TO HELL WITH THEM.Wasittuyumbishe na kutupotezea muda
Mkuu kubembeleza ndio msingi wa biashara, kwa kizungu wanaitwa MARKETING

Au bado uko enzi za ujamaa na kujitegemea...
 
Uganda wanajua fika kuwa mijitu ya Kenya ni minafiki na mijizi, kamwe hawatakubali kufanya nao biashara na kuacha rafiki wa kweli
 
Hii attitude ndiyo inayotuangusha waTz. Hebu ona nilivyokutabiri kwenye post yangu hapo juu.

Kwani wakenya hawajui kuwa it is up to uganda?

Kwani kenya ni nchi isiyokuwa na ufisadi?

Tena nadhani wamethubutu kujaribu kutunyang'ang'anya hili tonge mdomoni wakijua tz imejaa watu wenye mawazo defeatist kama yako. (Ndiyo, u prima donna ni self defeating). Kwa kawaida wala wasingejaribu kuingilia dili ambali marais wawili wametoka nalo hadharani.

Soma kwanza kitu uelewe kabla ya kumwaga mipovu.

Wapi nimesema tuwaachie Kenya kwa mfano? Nilikuwa najaribu kueleza kwa nini tumefika hapa na kwamba isingekuwa Vasco, dili ilikuwa yetu bila mjadala wa sasa. JPM kasema Tanzania inaweza tena kwa muda mfupi.

Kwa upande mwingine, kampuni ya Total inapendelea Tanzania tokea mwanzo. Kuna risk kidogo kulinganisha na Kenya.

Sasa mawazo yangu "defeastist" yako wapi?
 
Hii attitude ndiyo inayotuangusha waTz. Hebu ona nilivyokutabiri kwenye post yangu hapo juu.

Kwani wakenya hawajui kuwa it is up to uganda?

Kwani kenya ni nchi isiyokuwa na ufisadi?

Tena nadhani wamethubutu kujaribu kutunyang'ang'anya hili tonge mdomoni wakijua tz imejaa watu wenye mawazo defeatist kama yako. (Ndiyo, u prima donna ni self defeating). Kwa kawaida wala wasingejaribu kuingilia dili ambali marais wawili wametoka nalo hadharani.
Tanzania ndio tumetaka kuwany'ang'anya wakenya.

Wakenya na Waganda walikubaliana mapema kabla ya sisi kuingia kati na kuanza sarakasi za kuwany'ang'anya makubaliano yao.
 
Concerns za total sio kujenga bandari mpya ama kulipa fidia.
Concerns yao ni Lamu inapakana na somalia, ya kwamba wakijenga hilo bomba harafu alshabaabu wakalilipua bomba wanakuwa wamesave ama vipi?
Issue ni risk management.

Wakenya ndo walitunyanganya baada ya ku create kitu Cow. Waganda walikuwa wako Tanga toka siku nyingi.
 
Kenya ina kitu kingine zaidi cha kumvutia Mseveni, nadhani Museven anaweza kuweka condition ya kubadilishana na Kisiwa cha Migingo katika ziwa Victoria na mradi wa mafuta. Kenya wakubali kugive up kile kisiwa ili wapewe huo mradi. Tanzania tutakuwa hatuna kitu kingine zaidi cha kufanya.
Museven alishajimilikisha hivyo visiwa na alishasema hamna mjadala tena.
 
Concerns za total sio kujenga bandari mpya ama kulipa fidia.
Concerns yao ni Lamu inapakana na somalia, ya kwamba wakijenga hilo bomba harafu alshabaabu wakalilipua bomba wanakuwa wamesave ama vipi?
Issue ni risk management.

Wakenya ndo walitunyanganya baada ya ku create kitu Cow. Waganda walikuwa wako Tanga toka siku nyingi.
Exactly Total Na CNOOC ndipo waliposimamia kuwa Lamu ni pua na mdomo kutoka somalia na Kenya wameshindwa kuwahakikishia kuwa bomba litakuwa salama, ila Kenya kaja na offer ya kujenga refinery mradi ambao ni aghali Kenya kuumudu peke yake, sasa sisi tuongee na Total France kwa kushirikiana na Total tujenge refinery Tanga ambao kwao mkwanja sio tatizo bora fulsa iwepo. Kwanza, itatupunguzia sana bei ya diesel, pili Total watajihakikishia soko la mafuta locally. Tatu, nchi jirani kama burundi Rwanda na Congo watanunua mafuta kutoka refinery ya Tanga.
 
Hatutakiwi kusubiri eti Uganda iamue or Museveni aseme, we have to act on it and immediately. Uwezo wa nchi katika michezo ya diplomasia ya kisasa 'Commercial diplomacy (CDC) na Business intelligence (BI)' hapo ndio nafasi yake. Ikibidi hata tuwatumie wafaransa ambao husifika sana kwenye haya madude hasa CDC! Hatutakiwi tusubiri na nina uhakika Serikali iko uwanjani!
Unachosema ni kweli, kuna waziri mmoja alinenda Dubai akapata tender ya kusupply nyama ya Ng'ombe kufika tu uwanja wa ndege akaanza kujitapa kuwa kafanikisha upatikanaji wa soko la ng'ombe wa Tanzania. Brazil wakasikia haraka wakaenda Dubai wakapandilia deal waziri alisubiri haoni mwarabu kuja kununua ng'ombe. Tusishangae bomba likahamia Kenya.
 
Hapa tunahitaji kuwa makini sana. Ukweli ni kwamba, as far as I know, Kenya are more smart in business than Tanzania and for sure they know how to manipulate. Sisi tulikuwa a bit hesitant and slow. Lakini mimi ninampongeza sana Raisi wetu. Alipokutana tu na Museveni hakupoteza nafasi. aliutumia muda wao wa mazungumzo vizuri. Huyu ndiye aina ya kiongozi tunayemtaka. He does not waste time. Kinachotakiwa hivi sasa ni kuwa na team nzuri itakayokutana na Waganda kwenye mazungumzo muhimu. Huu ni mradi utakaoinua sana uchumi wetu.
 
Exactly Total Na CNOOC ndipo waliposimamia kuwa Lamu ni pua na mdomo kutoka somalia na Kenya wameshindwa kuwahakikishia kuwa bomba litakuwa salama, ila Kenya kaja na offer ya kujenga refinery mradi ambao ni aghali Kenya kuumudu peke yake, sasa sisi tuongee na Total France kwa kushirikiana na Total tujenge refinery Tanga ambao kwao mkwanja sio tatizo bora fulsa iwepo. Kwanza, itatupunguzia sana bei ya diesel, pili Total watajihakikishia soko la mafuta locally. Tatu, nchi jirani kama burundi Rwanda na Congo watanunua mafuta kutoka refinery ya Tanga.
Wewe ndio umeongea Pwenti ya maana sana, japo kiwanda cha TIPPER kiliuliwa na wazee wa figisu, ila kama kuna uwezekano kiwanda kikafufuliwa halafu ikaungwa bomba moja toka Tanga mpaka Dar kwa ajili ya kusafisha mafuta itakuwa poa sana maana wanunuzi locally watakuwa wengi sana na Tanzania itageuka mteja mkubwa sana wa mafuta ya Uganda kitu ambacho ni faida kwao kibiashara.

Naamini Waganda wanajua risk iliyopo kuweka project ya Trillioni 8 kwenye mdomo wa Somalia
 
Hapa tunahitaji kuwa makini sana. Ukweli ni kwamba, as far as I know, Kenya are more smart in business than Tanzania and for sure they know how to manipulate. Sisi tulikuwa a bit hesitant and slow. Lakini mimi ninampongeza sana Raisi wetu. Alipokutana tu na Museveni hakupoteza nafasi. aliutumia muda wao wa mazungumzo vizuri. Huyu ndiye aina ya kiongozi tunayemtaka. He does not waste time. Kinachotakiwa hivi sasa ni kuwa na team nzuri itakayokutana na Waganda kwenye mazungumzo muhimu. Huu ni mradi utakaoinua sana uchumi wetu.
Nafikiri balozi Mahiga ni mzuri sana kwenye hii mambo ya negotiations na kama JPM akimtumia vizuri proposal za Kenya zitatupwa mbali na sie tuta win the deal
 
Kenya wanawalaghai tu.Uanze kujenga leo bandari hadi ikamilike ikubalike kibiashara na meli zije ni leo?
Tanzania hakuna kubembeleza kama waganda hawataki wanataka kutushinikiza kupitia wakenya kuwa turudi kubembeleza kwa kushika gharama zingine kama hao matapeli wakenya wanavyosema tusikubali.

Hapa mganda anataka kujifanya kama mwanamke kahaba kujiuza huku na kule.Raisi wao kasema tulidhani anaaminika Museveni hivyo hatutegemei sarakasi.Kama wanataka lijengwe sawa hawataki hawa waganda TO HELL WITH THEM.Wasittuyumbishe na kutupotezea muda

Umetumwa na wakenya?
 
Wewe ndio umeongea Pwenti ya maana sana, japo kiwanda cha TIPPER kiliuliwa na wazee wa figisu, ila kama kuna uwezekano kiwanda kikafufuliwa halafu ikaungwa bomba moja toka Tanga mpaka Dar kwa ajili ya kusafisha mafuta itakuwa poa sana maana wanunuzi locally watakuwa wengi sana na Tanzania itageuka mteja mkubwa sana wa mafuta ya Uganda kitu ambacho ni faida kwao kibiashara.

Naamini Waganda wanajua risk iliyopo kuweka project ya Trillioni 8 kwenye mdomo wa Somalia

Una akili sana!
Mseveni atakuwa alishashtukia hii matatizo ya alshabab
 
Kikao cha jana kampuni ya Total ilieleza sababu za kuhamishia mradi Tanzania ikiwemo, Tanzania gharama za fidia ziko chini ukilinganisha na kenya, pili wakijenga kenya itabidi pia wajenge bandari katika eneo la lamu tofauti na Tanzania ambapo bandari ipo tayari. Mradi kwa Tanzania utaenda kasi ili ukamilike kabla ya 2018 ambapo uganda itaanza kusafirisha mafuta yake.

Kenya wamejibu na kusema kuhusu fidia kenya itashughulikia kwahiyo hiyo sio sababu na ujenzi wa bandari wamesema Tayari kuna ujenzi wa bomba la kutoka sudan ya kusini kwenda lamu hivyo hilo sio tatizo kwani haitakuwa sehemu ya huo mradi. Kuhusu uharaka wa mradi wamesema wanao mradi wa ujenzi wa reli mpya unaoenda kwa kasi hivyo nahuo utakuwa na kasi ileile.

Sasa sie tumejipangaje kupangua hoja za kenya ili mradi uendelee kuwa Tanzania?
Uongozi na siasa za Kenya hazitabiriki. Mnakumbuka Museveni hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wa Kenya na wamewahi kuhujumu miundo mbinu ya kwenda Uganda. Mpaka sasa kuna mgogoro kati ya Kenya na Uganda kuhusu kisiwa cha Migingo. Hamwoni kama Kenya inaweza kutumia bomba hili kuhujumu uchumi wa Uganda? Naamini yote haya yamezingatiwa na ndio maana pamoja na ushinikizaji toka kwa walafi hao, bado M7 na kampuni ya TOTAL wanatetea njia ya Tanzania. Kwa hili, sina wasiwasi Tanzania itapata mradi huu.
 
Back
Top Bottom