Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,833
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na haijulikani wanamuonyesha nani licha ya kupuuzwa tangu aanze drama mahakamani.

Your browser is not able to display this video.
Majuto ni mjukuu, muhaini anajutia uropokaji wake unaokiuka sheria za nchi ambao ni wazi unakwenda kumtia hatiani pasina shaka yoyote.

Sheria ni msumeno,
Ishara zote za kisheria ziko wazi kwamba kuna kibaraka anakwenda kushikishwa adabu kisheria kwa kutiwa hatiani na kupewa haki ya hukumu anayostahili kulingana na makosa yake katika muda usiokua mrefu ujao.

Itakua ni fundisho muhimu sana kwa raia wenye tabia za kubebwa ufala wa kifikra kirahisi tu na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa lengo la kupindua serikali na kuharibu nchi kwa maslahi ya hao mabwenyenye. Tabia hiyo mbaya zaidi na isiyo ya kizalendo nchini, inakwenda kufika mwisho, kuzikwa na kukomeshwa kabisa Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Mahakama huru na ya haki ya Tanzania.
 
Jipe moyo wewe makalio, Endelea kula pesa za hao mboga mboga. Wewe ni mshenzi usiwe na akili unayenunuliwa kwa vipande 30 vya fedha. Mjinga wewe utasubiri sana.
 
Who are you?
 
Jipe moyo wewe makalio, Endelea kula pesa za hao mboga mboga. Wewe ni mshenzi usiwe na akili unayenunuliwa kwa vipande 30 vya fedha. Mjinga wewe utasubiri sana.
Gentleman,
hakuna haja ya kujiba moyo katika mambo ambayo ni bayana.
Muungwana amechoka, yupo confused licha ya kuilazimisha furaha.

ukweli huo hauna haja ya mihemko gentleman
 
Tombina!
 
he is still human, au unafikiri samia au kikwete wakifungwa mwaka mzima jela watakuwa na kuonekana wakitabasamu na kunawili kila siku? Tundu Lisu ni binadamu na anaumia pia, its normal human reaction ktk mazingira magumu kama hayo ...
 
B 2 aliyopewa nyamitako, imeanza kufanya kazi. Acheni kutumia kifala huku mwenzangu akitajilika,kupitia njaa zenu
 
he is still human, au unafikiri samia au kikwete wakifungwa mwaka mzima jela watatoka na kuonekana wakitabasamu? , Tundu Lisu ni binadamu na anaumia pia ...
ugonjwa wako sio kigezo cha kukiuka sheria gentleman,
utawajibishwa kwa mujibu wa sheria ukikika sheria hizo regardless ya ugonjwa wako

na kama unaemuelezea ni binadamu kulikoni aishi kinyume na ustaarabu wa kisheria uliowekwa kwaajili ya kuongoza binadamu wote?

anadai haumii na wala haogopi kifo
 
Kesi ya mchongo!

Kwa kifupi,CCM nzima hakuna wa kujibu hoja za TAL...Wamemfunga ili wasiaibike maana kwa risasi walishashindwa!
 
Fikra za yeyote mwenye roho mbaya na ya kikatili na chuki lazima kuwaza kwa mtazamo huo!
 
B 2 aliyopewa nyamitako, imeanza kufanya kazi. Acheni kutumia kifala huku mwenzangu akitajilika,kupitia njaa zenu
hebu fafanua vizuri kwa faida ya wadau wa JF,
halafu andika vizuri, sawa gentleman?
 
KInachowasumbua ni kutaka kumuona Lissu akilia mahakamani pengine amuombe rais wayamalize.

Anawaharibu kisaikolojia na mnazidi kuchukia..

Mtu akikufanyia ubaya ili ukasirike na kukuharibia mood halafu wewe ukacheka na kutoa tabasamu, anayeumia ni yule anayekufanyia ubaya...

Lissu alikataa kununuliwa, Abdul alimfuata amhonge mapesa, jamaa akakataa... hiko ni chuma..
 
Kesi ya mchongo!

Kwa kifupi,CCM nzima hakuna wa kujibu hoja za TAL...Wamemfunga ili wasiaibike maana kwa risasi walishashindwa!
jamaa anateseka halafu unakuja kumbwelambwena na porojo na ujasiri wa kilofa namna hiyo gentleman?
kama mamaluki wake, humuonei huruma huyo kibaraka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…