Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
mmh
Bodi ya pamba, bodi ya korosho, bodi ya sukari, .......Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Huyu jamaa atakuwa bodi ya maziwaUnajua majukumu ya TFNC wewe????Hivi bila maziwa mtoto anaweza kusurvive?
Kama tuna bodi za pamba au tumbaku inayolimwa mikao kama miwili hivi kwa nini uone shida kwa bodi ya maziwa yanayozalishwa na kuuzwa nchi nzima?
Tatizo lako hauoni umuhimu wa maziwa.
acha ujinga kwa hiyo tuwe na bodi ya samaki, bodi ya mchicha,bodi ya nyama, bodi ya vitunguu, bodi ya nyanya kwa vyote hivyo vina kazi kubwa mwilini?Jaribu kutafuta umuhimu wa maziwa kwa afya ndo utajua kwanin kuna bodi ya mazima!
NDUGU YANGU MTOTO MDOGO ALIYEZALIWA HAPEWI MAZIWA HAYA TUNAYOZUNGUMZIA, KAMA MGENI NA MAMBO HAYA BORA UNYAMAZEMie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Kwa hiyo kwa kuwa mahaba ni muhimu kwa afya ya binadamu basi nashauri iundwe BODI YA MAHABAMie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Ww ndo helew. Kwan hapo nimespecify miakaa mkuu. Naona unakurupuka tuNDUGU YANGU MTOTO MDOGO ALIYEZALIWA HAPEWI MAZIWA HAYA TUNAYOZUNGUMZIA, KAMA MGENI NA MAMBO HAYA BORA UNYAMAZE
Mh huu utan wa ngumi. Kuwa wa kwanza ww kumshaur hivo JPMKwa hiyo kwa kuwa mahaba ni muhimu kwa afya ya binadamu basi nashauri iundwe BODI YA MAHABA
Nimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!
Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??