Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

Bado ofisi za MABONDE YA MAJI YA MITO 1. RUFIJI (RUBADA), WAMI, KILOMBERO, MARA, PANGANI n.k.
 
Tupunguze/tuunganishe taasisi zinazofanana na MAJUKUMU jamani ili kubana matumizi & kuongeza ufanisi;
1. BODI YA MAZIWA/TFDA/TANZANIA FOOD & NUTRITION CENTRE
2. TANTRADE/EPZA
3.TIC/BRELA/National Economic Empowerment Council (NEEC)
4.TANAPA/Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)
5. TACAIDS/ National AIDS Control Programme
6.OSHA/NEMC/ Zimamoto
7. Bodi za Mazao (korosho, chai, PARETO,Sukari, "CHUMVI" )
8.TBC/Habari-Maelezo/Tanzania Standard Newspaper (Daily News)
9. Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI)+Mbegani Fisheries Development Centre
Voted as POST OF THE WEEK
 
wakati mwingine unajiuliza kuna ulazima viongozi MAKATIBU WAKUU na MANAIBU, MAKAMISHNA, WAKURUGENZI, MEYA, DED, MKUU WA MKOA/WILAYA, "masekretari" kupewa magari rasmi ya kuwapeleka nyumbani na "Bar"? si wakopeshwe/walipe kidogo kidogo. hayo ma-VX yauzwe kwenye mnada tuanze upya?
 
wakati mwingine unajiuliza kuna ulazima viongozi MAKATIBU WAKUU na MANAIBU, MAKAMISHNA, WAKURUGENZI, MEYA, DED, MKUU WA MKOA/WILAYA, "masekretari" kupewa magari rasmi ya kuwapeleka nyumbani na "Bar"? si wakopeshwe/walipe kidogo kidogo. hayo ma-VX yauzwe kwenye mnada tuanze upya?

Wait labda Wakubana Matumizi ataamuru cku moja
 
Sisi wananchi kwa umoja wetu tukiamua kumfikishia ujumbe mheshimiwa kuwa tumekuwa na taasisi nyingi zinazofanya kazi zinazofanana basi mkulu atazivunjilia mbali pasi shaka. Ila yote kwa yote AFUFUE AIR TANZANIA. Mbona abiria wapo wengi sana jameni (DAR-MORONI/ANJOUAN, DAR-KIGALI-BUJUMBURA-KINSHASA-LUBUMBASHI, DAR-LILONGWE/BLANTYRE, DAR-LUSAKA-HARARE n.k
 
Nakushauri uingie kwenye Website ya iliyokuwa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi uone Taasisi zilizo chini yake na majukumu yake.
 
Ivi unahisi mie mpumbavu. Unajua maana ya neno mpumbavu?. Pengine tu kwa ushauri. Ata hao walio unda hiyo BODI walikuwa na maono makubwa sana. Unge kuwa mwalimu ( sifahamu taaruma yako) ungeniunga mkono. Kufundisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto ambaye lishe haikuzingatiwa tangu akiwa mdogo ni shida sana. Pia maziwa yana kazi nyingi sana mbali na kuwa chanzo muhimu cha lishe kwa watoto ( protein)

Unaweza kuwa sahihi kqa hiki unachosema lkn uwepo wake umeleta Tija gani mpaka sasa
 
Pia tuongeze bodi nyingine mfano:
1.bodi ya ugali,
2. bodi ya mtama
3. bodi ya soya,
4. bodi ya dengu,
5. bodi ya maharage,
6. bodi ya choroko,
7. bodi ya mboga za majani kwa ujumla
8. bodi ya malazi,
9. bodi ya mavazi,
6. bodi ya saloon na mikorogo,
7. bodi ya nyama ya ng'ombe
8. bodi ya nyama ya mbuzi
9. bodi ya nyama ya kondoo,
10. bodi ya kitimoto,
11. bodi ya nyama ya kuku,
12. bodi ya nyama ya bata
13. bodi ya ndege kwa ujumla (birds in general)
14. bodi ya mayai,
15. bodi ya kuku
16. bodi ya machungwa
17. bodi ya mchicha
18. bodi ya sukuma wiki
19. bodi ya spinachi
20. bodi ya matembele
21. bodi ya chines
22. bodi ya uwele
23. bodi ya vitumbua
24. bodi ya maandazi
25. bodi ya ufuta
26. bodi ya samuli
27. bodi ya siagi
28. bodi ya ulezi
29. bodi ya mananas
30. bodi ya ndizi
31. bodi ya mapera
32. bodi ya parachichi
33. bodi ya kabechi
34. bodi ya ukwaju
35. bodi ya ubuyu

Nimesahau zingine.unaweza kuongeza zingine unazozikumbuka ili tz yetu ipige hatu mbele

Eti bodi yaaziwa!!!! aahahahahaaaaaa!!! tz bana..Mtu haishi kwa maziwa tu isipokuwa kwa aina zote ya chakula kama baadhi zilizotajwa hapo juu ili kuujenga. mwili. Sasa ukisema unaunda bodi eti ya kushugulikia maziwa peke yake kama lishe bora, vipi chakula vingine? kwakuzingatia umuhimu wa makundi ya chakula; Piga ua ni lazima Rais aanzishe bodi kwa kila aina ya chakula jukumu lake ni kwaelimisha wananchi umuhimu wa kila kundi la chakula kama bodi ya maziwa inavyofanya. La sivyo hakuna haja na bodi ya maziwa kwakuwa tayari tuna tfda na ile ya nutrition.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ninavo jua maziwa yanavirutubisho vingi kwa ujumla. Fuatilia alafu utakuja kuwa shahidi hapa
Kwani uji hauna virutubisho??

Anyweiz point ni kwamba kila kitu chenye umuhimu kikiundiwa bodi kutakuwa na bodi ngapi kwa nchi maskini kama Tz??

Wanasema eti kazi ni kuhakikisha kila mtoto anapata maziwa kikombe kwa siku kitu ambacho ni uwongo wakati nchi hii hii watu hawana maji sasa maziwa na maji lipi ni suala umuhimu la kushughulikia...

Mambo ya maziwa yashughulikiwe na TFDA ... naamini magufuli ataliona hili
 
Kwani uji hauna virutubisho??

Anyweiz point ni kwamba kila kitu chenye umuhimu kikiundiwa bodi kutakuwa na bodi ngapi kwa nchi maskini kama Tz??

Wanasema eti kazi ni kuhakikisha kila mtoto anapata maziwa kikombe kwa siku kitu ambacho ni uwongo wakati nchi hii hii watu hawana maji sasa maziwa na maji lipi ni suala umuhimu la kushughulikia...

Mambo ya maziwa yashughulikiwe na TFDA ... naamini magufuli ataliona hili
Nenda katafute maana ya TFDA afu ndo uje. Utafute na malengo ya kuiunda hiyo authority
 
BODI zisizo na tija kwa mustakabali wa nchi hii ni pamoja na hii BODI YA MAZIWA. Full ujanja ujanja!
 
Back
Top Bottom