Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

Nimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!

Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??
Aisee wewe ni mbumbumbu kabisa bodi ya maziwa ipo toka enzi ya nyerere
 
kabla kuchangia naomba ufafanuzi kwani sijwahi kuisikia!
Ni maziwa ya gani?
Maziwa maji ie victoria, Tanganyika, Eyasi etc
Maziwa ya binadamu?
Maziwa ya ngombe, mbuzi, ngamia etc?
 
Serekali inajitahidi kutengeneza wigo mpana wa ajira🤣🤣🤣🤣. Inamaana ajira Sasa zimetosha sio.
 
Back
Top Bottom