PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unadhani watu hawana fikra dada ?
Watu wana fikra vizuri tu tatizo la nchii hii ni umasikini

Hata uwe na PhD kama una njaa huna ujanja na CCM hilo wanalijua vizuri sana

Tuipate hiyo katiba kwanza
Tupate viongozi bora
Watakaoboresha mazingira ya elimu

Na kingine Watanzania sio wajinga kwa kiwango hicho issue ni ujasiri tu wa kuchukua action
Siku hao vijana wa bodaboda wakija kugundua kua hiyo 10 haitoshi na kutaka kuongezewa 29k na wasipewe hao hao ndio watafanya kitu

Anzeni mijadala wala hakuna shida juu ya hilo ila bila katiba hata hiyo mijadala utaiona michungu

Wewe unadhani nani atakupatia platform ya kuamsha vijana kama sio viongozi wenye utashi na ambao hawawezi kupata madaraka bila katiba mpya

Hawa wote unaosema ndio wanaweza kua fikra zao kua zimelala au hazijalala vile vile ni kwa vile wao wameshika kwenye makali

Katiba sio mpya tu
Ila katiba iwe Bora na pia katiba inatakiwa kuja na mabadiliko mengineo ikiwemo kwenye mihimili ya nchi uhuru wa mahakama ,bunge nk..........
Sasa kwanini tusifocus katika maendeleo na si katiba?

Tumeshaona nchi za wenzetu, ikiwemo Kenya ambao wamefocus kupata ammendment za kikatib saana kiutawala mpaka kuandamana. But in return tumeishia kuona gen z wakuwawa tu na mengine to mengi.

Swala la katiba sio baya, ila tuna hiyo environment ya ku withstand hiyo katiba?

Umeshasema kuwa watanzania sio wajinga kiasi hicho! Sasa kwanini wasiwe mstari wa Mbele kuwa mabadiliko wanao yataka?

Issue sio katiba, ni kujidanganya mchana kweupe, miaka mingapi tunakaza kulilia katiba na wakati wa uchaguzi hongo na hela zikisha gawiwa mtaani watu wanafunga midomo?

Hata enzi za Magufuli, ilipofika muda wa jamaa Juana kubana matumizi na kutumbua ajira feki, mmatumbi huyo huyo anayepinga rushwa walianza kusema jamaa anabana matumizi.

Ukweli ni kwamba watanzania tunapenda kubishana tu, tunapenda ku fantasize mabadiliko ila kupitia pain ya mabadiliko hatutaki.

Wajapan sijui wachina wali hustle na kucontrol hadi vizazi vyao kuja kufikia uchumi walio nao, ila sisi mtikiso kidogo tu lawama kibao
 
Kila siku mfano ni Kenya why ?
Na hata hivyo kenya wametuzidi vingi sana
Kingine una uhuru wa kufanya unachoona kwako ni sahihi
Muhimu wote tunataka mabadiliko hata kama njia zisipofanana lengo ni moja waswahili wanasema Mchele mmoja mapishi tofauti
 
Una uhuru wa kufanya una chotaka kila la kheri mkuu
Kuwa na uhuru wa kufanya unalo taka sio kigezo cha kukwepa ukweli, na kujichimbiavichwa chini kukataa kinacho kuomba taifa, nothing changes if nothing changes
 
Kuwa na uhuru wa kufanya unalo taka sio kigezo cha kukwepa ukweli, na kujichimbiavichwa chini kukataa kinacho kuomba taifa, nothing changes if nothing changes
Tatizo lako unataka mtu akubali kila unachosema sitaki mabishano yasio na tija baki na mtazamo wako shida iko wapi haya ni maoni sio lazima tufanane ishi humo
 
Mh. Lema yuko sahihi lakini nadhani katiba mpya ndio iwe chachu ya kubadili fikra za watanzania. Katiba mpya itakapotupatia viongozi waadilifu, hao ndio watakataa rushwa kama wanaopewa hao vijana, watakuwa ni viongozi kweli. Na katiba mpya ikiruhusu viongozi kuondolewa impunity hapo hao hao viongozi watakuwa waadilifu na watawaliwa watawafuata viongozi waadilifu wanafanya nini ama kusema nini
Ni ngumu sana sana kubadilisha fikra za watanzania kwa katiba iliyopo sasa.
Unaweza kuwa sahihi, ila mawazo yangu na alichosema Lema naona ni sahihi. Huwezi kuwa na taifa lenye maendeleo bila kubadilisha mtazamo wa watu. Katiba inaweza kuwa kama hapo Kenya tu, ila uzalendo ukakosekana na kila kitu kikaharibika.

Mkuu, hata leo kuna sheria nyingi ukiacha katiba ambazo kama waliopewa madaraka wangeweza kuzisimamia taifa lingekuwa mbali sana, changamoto ni mindsets. Ukiona nchi kama za huko Scandinavia kinachowabeba pamoja namengine mengi ni uzalendo kwa nchi zao, kitu ambacho sisi hatuna.
 
Tatizo lako unataka mtu akubali kila unachosema sitaki mabishano yasio na tija baki na mtazamo wako shida iko wapi haya ni maoini sio lazima tufanane ishi humo
Sijataka ukubaliane nami, na wala sijataka tujibizane huo ni mtazamo wako, nimeongea perspective zangu ambazo nadhani ziko viable kwa uhalisia ambao wengi wanaukwepa. Kama ungekuwa na hoja ya kuni challenge basi ningeweza kubadilika pia

So hiyo mindset ya kudhani nataka uwe upande wangu itoe kabisa.
 
Wakusifu mama waruhusiwe. Vivyo hivyo wa kumkosoa waruhusiwe. Simple. Siyo unakubali wa kusifu wa kumkosoa anatekwa!
 
Sijataka ukubaliane nami, na wala sijataka tujibizane huo ni mtazamo wako, nimeongea perspective zangu ambazo nadhani ziko viable kwa uhalisia ambao wengi wanaukwepa. Kama ungekuwa na hoja ya kuni challenge basi ningeweza kubadilika pia

So hiyo mindset ya kudhani nataka uwe upande wangu itoe kabisa.
Sio lazima ni ku chalenge mimi hupenda mijadala na watu tunaolewana

Zingatia hua nataka kujenga hoja sio mabishano

Nili m quote mtu mwingine wala sikua kwenye mjadala na wewe

Wewe upo sahihi kwa upande wako kila la kheri mkuu
 
Kwani mimi kujibu comment yako hata kama unajadili na mwingine sio sawa? Nina uhuru wa kusema endapo nitaona inafaa hata kama ume QUOTE mtu mwingine.

Hakuna limit ya mtu ku quote au kuweka opinions zake.

Hiyo ni kama uko na ubaguzi wa nani msikilize na nani umwache, angalia hoja na sio mtu.
 
Back
Top Bottom