PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mh. Lema yuko sahihi lakini nadhani katiba mpya ndio iwe chachu ya kubadili fikra za watanzania. Katiba mpya itakapotupatia viongozi waadilifu, hao ndio watakataa rushwa kama wanaopewa hao vijana, watakuwa ni viongozi kweli. Na katiba mpya ikiruhusu viongozi kuondolewa impunity hapo hao hao viongozi watakuwa waadilifu na watawaliwa watawafuata viongozi waadilifu wanafanya nini ama kusema nini
Ni ngumu sana sana kubadilisha fikra za watanzania kwa katiba iliyopo sasa.
✔️
 
Hakika, fikra ndo funguo....
You're such a thinker mkuu
Kenya Wana katiba mpya.uliza msoto wanaopitia
Walidhani katiba mpya itakuwa suluhu ya mengi lakini siyo.Lakini Kwa Namna Fulani angalia wanavyoizingatia katiba Yao hasa vijana wadogo.wanapigania kile wanachokijua,ikiwemo haki zao.

Sisi tunahitaji kuelimishana kwanza ,tuwe na msimamo mmoja,angalau Kwa asilimia 80 ndipo tuanze kupigania hiyo katiba.

Mtu mpaka zama hizi anakatwa Kodi ila daraja hakuna mtaani kwake anaamini kiongozi ni WA kuja kumfanyia kama favor
Akifanya wanamuabudu katusaidiaa,katufanyia hiki na kile..si haki yenu? Si Kodi zenu?
Si mapato yenu?
Tubadili fikra zetu za kiongozi tunamuhitaji kuliko yeye anavyotuhitaji sisi tuhamie kwenye kiongozi anatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyomuhitaji yeye.
Serikali ni watu,na yeye ndio kapata dhamana ya kuongoza.
 
Huenda yupo sahihi
Muunge mkono kwa kufanya midahalo ili kuboresha jamii

Sisi wengine tunaitaji kwanza kudhibiti chanzo cha haya ambacho ni hiyo katiba ya hovyo inayowezesha mafisadi kuiba pesa na kuhonga bodaboda ambao kimsingi wana hali ngumu ya maisha na wana njaa na unajua njaa ilivyo
Marekani inasemekana wana Katiba nzuri lakini bado wana aina ya vijana wanaofanya mambo ya ajabu kama huku Tanzania. Unafikiri tatizo litakuwa ni issue ya Katiba peke yake ?
 
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Kama umekwisha lipwa na kuweka chako kibindoni utashindwaje kuimba.
 
We chawa mnafiki,
Kanisani patupu??
Wewe na uongo ni 🤞
Em angalia hapo


kwahiyo hapa walijaa nyomi sana right? au hayo mabenchi matupu pia ni waamini?

angalia taratibu tu na itapendeza zaidi.

yaani watu waache kwenda makazini wababaike na huo unafiki?🐒
 

Attachments

  • 6427452-b5c934f0e645f134fce800049cd7d403.mp4
    51.1 MB
Kenya Wana katiba mpya.uliza msoto wanaopitia
Walidhani katiba mpya itakuwa suluhu ya mengi lakini siyo.Lakini Kwa Namna Fulani angalia wanavyoizingatia katiba Yao hasa vijana wadogo.wanapigania kile wanachokijua,ikiwemo haki zao.

Sisi tunahitaji kuelimishana kwanza ,tuwe na msimamo mmoja,angalau Kwa asilimia 80 ndipo tuanze kupigania hiyo katiba.

Mtu mpaka zama hizi anakatwa Kodi ila daraja hakuna mtaani kwake anaamini kiongozi ni WA kuja kumfanyia kama favor
Akifanya wanamuabudu katusaidiaa,katufanyia hiki na kile..si haki yenu? Si Kodi zenu?
Si mapato yenu?
Tubadili fikra zetu za kiongozi tunamuhitaji kuliko yeye anavyotuhitaji sisi tuhamie kwenye kiongozi anatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyomuhitaji yeye.
Serikali ni watu,na yeye ndio kapata dhamana ya kuongoza.
Tatizo halisi sio katiba.. Ni mindset...hata umaskini, wengi hudhani kuwa sijui ni mifumo ya nchi nakadhalika.. Ila ni deep beliefs kuhusu pesa.

Hakika, watu wanakatwa kodi na hawajui hiyo kodi inakwenda wapi, wanakuja kulalama kipindi cha mwasilisho ya bajeti tu.

Ifike time tuache kulilia kitu ambacho bado sisi wenyewe hatuko able kukihimili na kuko handle. Tatizo sio katiba, bali ukosefu wa elimu, uzalendo na kushiriki katika maendeleo moja kwa moja.

That's a wonderful POV my friend
 
Marekani inasemekana wana Katiba nzuri lakini bado wana aina ya vijana wanaofanya mambo ya ajabu kama huku Tanzania. Unafikiri tatizo litakuwa ni issue ya Katiba peke yake ?
Wanayofanya vijana wamarekani ni sa sawa na wanayofanya vijana wa huku tanzania?

Ku compere marekani na Tanzania ni kichekesho mkuu

Sasa kama hamtaki katiba mpya ili kuweka viongozi watakaoboresha elimu
Ustawi uchumi nk......

Sasa mnataka nini?
 
Ku compere marekani na Tanzania ni kichekesho mkuu
Unaamini vijana wa Marekani wote ni first class human beings na kwamba hakuna wenye mambo ya kijinga kijinga ?
Nkkisema mambo ya kijinga simaanishi na wao lazima wawe kama hawa wa Dodoma wanaoongwa vi elfu 10 10.
 
Unaamini vijana wa Marekani wote ni first class human beings na kwamba hakuna wenye mambo ya kijinga kijinga ?
Hayo umesema wewe
Ni wewe ndio umeleta mfano wa marekani hapa

Na mimi nikakuambia hakuna cha ku compere kwa marekani na Tanzania

ukitaka kugundua hilo angalia tu kijana wa marekani akija hapa bongo
na kijana mtanzania akienda marekani nani ana ng'ang'ana kukaa kwa mwenzie
Nkkisema mambo ya kijinga simaanishi na wao lazima wawe kama hawa wa Dodoma wanaoongwa vi elfu 10 10.
Hawa wana njaa maisha tu watanzania wengi kali ya uchumi ni ya kawaida au chini ya kawaida

Adui yako muombee
Kungekua na uchumi imara nani angekubali kuhongwa 10k na kushika Bango la samuya
 
Back
Top Bottom