PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma


..pole yao.

..hawajui kwamba serikali ingejenga kongani ya viwanda badala ya maofisi ya warasimu vijana wangepata ajira za maana badala ya kuendesha bodaboda.
 
Unafurahi kuona makanisa ni matupu kwa ibada isiyo na tatizo kisheria!!???
Hakika wewe ni zao la shetani.
Gentleman,
yaani mtu eaache kwenda kwenye shughuli zake za kutafuta riziki ababaike na porojo za ibada za kinafiki, surely?🐒
 
Mnashuhudia majengo na maji hamna bure kabisa.
Mlitakiwa kushuhudia maji sio majengo.

Hayo majengo watatumia hao wavaa suti
Maji mtatumia wote.
 
Back
Top Bottom