PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,454
Reaction score
5,134
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Hii nchi kufa kwa siteresi ni labda utake mwenyewe tu 😂😂😂

IMG-20261026-WA0023.jpg
 
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapoKatika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekujakushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

well done Tanzanians,
ndio maana makanisani kwa wale wanafiki palikua patupu tu 🐒
 
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapoKatika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekujakushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Hii akili ya Bashite haiwezi kusaidia ni suala la muda mfupi tu, hawa watoto mmewapa elfu kumi kumi zinaisha jioni tu balaa linarudi!🤣🤣🤣
 
Lema alisema
Katiba mpya haitasaidia chochote kama sio sisi kwanza kubadili fikra zetu.

Ndiyo alimaanisha haya Sasa.
Zinajenga Kodi zetu,tunamshangilia mtu ndio kafanya.tunawapa kichwa kujigeuza miungu watu badla ya kuwa viongozi wanageuka watawala.
Haya yote yanafanyika kwa msaada wa hiyo katiba ambayo lema alisema haiwezi kubadili chochote

Katiba mpya tena bora ikipatikana
Itaondoa vilaza kwenye madaraka ambao wanadhani kukusanya boda boda kama hivyo et ni ishara ya kukubalika

Katiba haitamaliza migogoro yote lakini asimilia kubwa kuna mambo mengi yatarekebika
 
Lema was right all along, uwe na katiba mpya kwa fikra hizi na umasikini huu bila uzalendo you're doomed.

Hapo watu wamewekewa lita 5 za petrol na elfu kumi kumi tu and they portray their stupidity to the world.
Njaa na umaskini hatujawahi kuacha jamii salama. Lakini pia ukosefu wa elimu na maadili bora. Mtu hajui hata impact yake yeye mwenyewe unategemea nini?.

Bredcrumbs na uchawa ndo kitu pekee unacho weza kukuta kwenye jamii za wamatumbi
 
Haya yote yanafanyika kwa msaada wa hiyo katiba ambayo lema alisema haiwezi kubadili chochote

Katiba mpya tena bora ikipatikana
Itaondoa vilaza kwenye madaraka ambao wanadhani kukusanya boda boda kama hivyo et ni ishara ya kukubalika

Katiba haitamaliza migogoro yote lakini asimilia kubwa kuna mambo mengi yatarekebika
Mimi naona lema yuko sahihi... Tena sana.

Wengi tunalilia mabadiliko, ila hayapo kwenye katiba, hasa hasa msingi bora wa mabadiliko huanzia kwenye jamii,

In this country wengi hawajui chochote kuhusu katiba, hawajui boundaries na rights zao. We'd raher stop focusing on katiba na tuanze ku lead society yenye utambuzi..
 
Huenda yupo sahihi
Muunge mkono kwa kufanya midahalo ili kuboresha jamii

Sisi wengine tunaitaji kwanza kudhibiti chanzo cha haya ambacho ni hiyo katiba ya hovyo inayowezesha mafisadi kuiba pesa na kuhonga bodaboda ambao kimsingi wana hali ngumu ya maisha na wana njaa na unajua njaa ilivyo
 
Haya yote yanafanyika kwa msaada wa hiyo katiba ambayo lema alisema haiwezi kubadili chochote

Katiba mpya tena bora ikipatikana
Itaondoa vilaza kwenye madaraka ambao wanadhani kukusanya boda boda kama hivyo et ni ishara ya kukubalika

Katiba haitamaliza migogoro yote lakini asimilia kubwa kuna mambo mengi yatarekebika
Mambo hayatabadilika kama sisi sote hatuko tayari kubadilika.Ama kama baadhi tumebadilika lakini kundi Fulani haliko tayari kubadilika.

Hata Sasa Kuna watu wamebadilika,ila Sasa changamoto ndio kama hiyo uionayo,bado Kuna machawa everywhere,watu walio tayari kupokea buku kumi wakasafishe uovu wa wanaoficha mabilioni.
Wakati nyinyi mnajenga wenzenu kule wanapewa hongo wanakuja kubomoa.bila kujifungua fikra zao kwamba kile mnachojenga ni Kwa faida Yao pia.Wakibadili fikra zao wataungana nanyi.

Lakini kama Hali ikiendelea hivi safari bado ni ndefu sana.
 
Back
Top Bottom